CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
simu yoyote yenye support ya themes inaweza fanya hicho kitu. unadownload themes nyeusi tu.
ila themes nyeusi inapendeza kama kioo ni cha amoled au oled maana ile nyeusi inakuwa tii, halafu ikirun kitu cheusi inakuwa haili chaji sana.
sasa hivi una simu gani?
samsung nyingi za kisasa zina amoled na option ya themes nyeusi.
z10 haina support ya themes.BlackBerry z10
iphone ina invert mode na sio dark mode. kuna utofauti hasa wa compability baina ya hivyo vitu.1-Ingependeza zaidi kama ungesema na budget uliyonayo,Kuna simu inaitwa oneplus 3 ina hiyo feauture.
2-iphone x ina dark mode(ios 11 kama una iphone ina support ina dark mode pia.
3-apps from store
Hizi ni apps za android zinazo support.
-Textra
-Hello
-Handcent Sms
-Chomp sms
-Go sms pro
Unaweza kwenda playstore kuzitafuta au ku download apk zake.
4-Kuna apps pia ambazo ukiiweka kwenye hio simu lazima iwe rooted ku support hiyo dark mode(black n white}
iPhone X tips: Maximize battery life with 'dark mode' inverted colors and grayscaleiphone ina invert mode na sio dark mode. kuna utofauti hasa wa compability baina ya hivyo vitu.
black background si unadownload- play store?
z10 haina support ya themes.
kama una rafiki yako ana samsung ya karibuni kuanzia 2015 muazime hata dakika kadhaa nenda setting kisha themes tafuta theme nyeusi halafu apply then utaangalia kama inakufaa.
pia kuanzia android 7, android yenyewe ina black mode.
ndio sio dark mode, invert ni kama zile movie za zamani au negative ya mkanda wa camera inakuwa na ukijivu fulani. zote mbili dark mode na invert mode ninazo kwenye rom ya cyanogen.iPhone X tips: Maximize battery life with 'dark mode' inverted colors and grayscale
How to Enable Dark Mode on iPhone X
Labda kama haina white fonts and black bacgrnd ila ndio hio hio dark mode.
samsung gani?Ninayo samsung but nimeangalia sio hiyo theme nyeusi... BlackBerry ina white font na black background but haisupport whatsapp anymore
Kwani true black ipo kwenye lcd au oled?ndio sio dark mode, invert ni kama zile movie za zamani au negative ya mkanda wa camera inakuwa na ukijivu fulani. zote mbili dark mode na invert mode ninazo kwenye rom ya cyanogen.
kwenye kioo cha oled kuna utofauti mkubwa baina ya nyeusi [HASHTAG]#000000[/HASHTAG]
na aina zote za gray, ikiwa black pekee ndio pixel zinazima, ikiwa gray hata kidogo hazizimi, zinawaka kwa mwanga mdogo.
Nimejaribu kwenye ios 11 inaleta black background kwenye sms na white texts.ndio sio dark mode, invert ni kama zile movie za zamani au negative ya mkanda wa camera inakuwa na ukijivu fulani. zote mbili dark mode na invert mode ninazo kwenye rom ya cyanogen.
kwenye kioo cha oled kuna utofauti mkubwa baina ya nyeusi [HASHTAG]#000000[/HASHTAG]
na aina zote za gray, ikiwa black pekee ndio pixel zinazima, ikiwa gray hata kidogo hazizimi, zinawaka kwa mwanga mdogo.
inakuwepo kwenye oled tu. lcd kwa macho unaona kama ni black ila sio [HASHTAG]#000000[/HASHTAG]Kwani true black ipo kwenye lcd au oled?
Samsung J3 Ya 2016samsung gani?
nimecheki online ina themes support. nenda setting kisha themes, ingia store ya themes halafu chagua unayopenda.Samsung J3 Ya 2016