Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,669
- 167,714
Na hii biashara ni kubwa mno, mi simu used hapana kwakweliNgoja yawakute ya kuwakuta ndio watatia akili, njagu wetu wanapenda sana kesi za kuuziana simu mikononi
Na hii biashara ni kubwa mno, mi simu used hapana kwakweliNgoja yawakute ya kuwakuta ndio watatia akili, njagu wetu wanapenda sana kesi za kuuziana simu mikononi
Simu ya elfu kumi na nane (18000) ipoje?Habari wanajukwaaa.
Sina maneno mengi sana nahitaji simu nzuri yenye uwezo wa 4G iwe used lakin isiwe zaidi ya miezi sita....nipo dar jiji la bashite...
Kama unayo naomba unitumie picha na uje PM kwa biashara zaidi.
Ajali kazini madam mwendo wa used watu wananunua hadi nguo za mitumba alizovuliwa marehemu.ukinunua simu ambayo ilishapiga tukio huko?
Teh hayaAjali kazini madam mwendo wa used watu wananunua hadi nguo za mitumba alizovuliwa marehemu.