Siku ya bei hiyo huwezi kupata mkuu,,,180,00. !!!!!!!!!!!!?????????Habari wanajukwaaa.
Sina maneno mengi sana nahitaji simu nzuri yenye uwezo wa 4G iwe used lakin isiwe zaidi ya miezi sita....nipo dar jiji la bashite...
Kama unayo naomba unitumie picha na uje PM kwa biashara zaidi.
Ngoja yawakute ya kuwakuta ndio watatia akili, njagu wetu wanapenda sana kesi za kuuziana simu mikononiTeh hivi watu huwa hamuogopi simu used?
Nauliza tu
Mkuu hataki siku anataka simu? Dawa ya bishoo ni kuwa bishoo zaidi yakeSiku ya bei hiyo huwezi kupata mkuu,,,180,00. !!!!!!!!!!!!?????????
Used fresh tu watu wanauziana used mpaka ebayTeh hivi watu huwa hamuogopi simu used?
Nauliza tu
ukinunua simu ambayo ilishapiga tukio huko?Used fresh tu watu wanauziana used mpaka ebay