Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 50,891
- 122,773
Maelezo y uongo n yapi, kwamba ww ndo unanijua kuliko navyojijua?Haujaandika kitu cha maana kabisa mazee nimeomba picha ya simu unayotumia maana umesema upo nayo goggle pixel 256 Gb kwa laki kadhaa kwa msisitizo umesema umetuma hela mara mbili ili kuipata baadae unakuja na maelezo ya uongo...