aisee duniani kuna watu wa ajabu ,unajuaje imani yake !!!mbona yesu hakuzuia zile pesa kule mbaggala na makanisa kuchomwa ???? Hivo vitu vinabase kiimani zaidi mkuula sivo haifanyi kazi,yeye anataka silaha wewe unamwambia yyesu umpe basi akae hapo mlangoni kama ni silaha!!!
refer padri evarist ,wambie hao waache utani basi zile risasa zingekuwa hewa.no such power exist ukishavamiwa nakuibiwa utasikia mwombe mungu atakupa vingine !!!ideological base
example mokiwa ,hivi kwani hawa hawana yesu!!!jisaidie nami nitakusaidia
Mungu katika Yesu Kristo ndie silaha pekee, serious kabisa nakuambia, usianze ubishi katika hili
alafu jioni mnakuja kuichukua??
aisee duniani kuna watu wa ajabu ,unajuaje imani yake !!!mbona yesu hakuzuia zile pesa kule mbaggala na makanisa kuchomwa ???? Hivo vitu vinabase kiimani zaidi mkuula sivo haifanyi kazi,yeye anataka silaha wewe unamwambia yyesu umpe basi akae hapo mlangoni kama ni silaha!!!
refer padri evarist ,wambie hao waache utani basi zile risasa zingekuwa hewa.no such power exist ukishavamiwa nakuibiwa utasikia mwombe mungu atakupa vingine !!!ideological base
example mokiwa ,hivi kwani hawa hawana yesu!!!jisaidie nami nitakusaidia
nadharia ya majimaji war.
tatizo ni kwamba mnasema mwnini yesu kristo ,doesnt make sense kwa mpagani ,au akifika hapo getini hatavamiwa au nyumbani ,wapeni watu siri yamafanikio ya kuwa na Yesu ,unajuaje imani yake.hapa ndipo wakristo wengi mnakosea sana nawiwa kusema hili kwa kweli mnawaambia watu okokeni kwa yesu kuna kila kitu wakifika huko empty set ,ulipasw umwambie fanya kazi kwa bidii huku ukimwomba mungu nakumtumaini yeye utafanikiwa -okNivea nimesoma comments zako zote and remained to be puzzled, sijui hata nikusaidieje. Nway naweza kukuambia jambo hili tu MWAMINI YESU KRISTO KATIKA YOTE NA IMANI YAKO IWE DHABITI NAWE UTAYAONA YOTE YANAWEZEKANA. Achana na mifano ya kuchomwa moto makanisa wala kuuawa kwa padre,, simama katika imani yako wewe katika YESU KRISTO PEKEE. Hoja ya maaskofu kuwa na silaha ni hoja mfu, mbona nyumba zao zina milango? mbona wanakula na kunywa na kuvaa? Kuna mengi husiyojua kuhusu imani kwa Mungu katika Yesu Kristo
Tafuta rocket launcher!
Panahitaji imani kubwa sana. Siyo hii ya kwenda tu kanisani kila jumapili.Mungu katika Yesu Kristo ndie silaha pekee, serious kabisa nakuambia, usianze ubishi katika hili
Nivea nimesoma comments zako zote and remained to be puzzled, sijui hata nikusaidieje. Nway naweza kukuambia jambo hili tu MWAMINI YESU KRISTO KATIKA YOTE NA IMANI YAKO IWE DHABITI NAWE UTAYAONA YOTE YANAWEZEKANA. Achana na mifano ya kuchomwa moto makanisa wala kuuawa kwa padre,, simama katika imani yako wewe katika YESU KRISTO PEKEE. Hoja ya maaskofu kuwa na silaha ni hoja mfu, mbona nyumba zao zina milango? mbona wanakula na kunywa na kuvaa? Kuna mengi husiyojua kuhusu imani kwa Mungu katika Yesu Kristo
its realy majimaji ideologynadharia ya majimaji war.
tatizo ni kwamba mnasema mwnini yesu kristo ,doesnt make sense kwa mpagani ,au akifika hapo getini hatavamiwa au nyumbani ,wapeni watu siri yamafanikio ya kuwa na Yesu ,unajuaje imani yake.hapa ndipo wakristo wengi mnakosea sana nawiwa kusema hili kwa kweli mnawaambia watu okokeni kwa yesu kuna kila kitu wakifika huko empty set ,ulipasw umwambie fanya kazi kwa bidii huku ukimwomba mungu nakumtumaini yeye utafanikiwa -ok
kaka huyo kaona suluhisho kwake ni kuwa na silaha sio umwambie mwamini yesu tu.je unahakika mtu aliyengatwa nyoka mara 4 ukamwambia pita juu ya hao nyoka wakanyage atawakanyaga tu kwa imani rahisi namna hiyo??
ulitakiwa umshauri hivi ndugu bwana asipoulinda mji waulindao ni kazi bure ,lakini kama umeamua kununua silaha ni jambo zuri sio haramu wala dhambi wala kufuru kamwe ila umtegemee mungu katika nyumba yako maombi na imani dhabiti ya ulnzi wa mungu unasaidia pia .huu ni ushauri unaoeleweka at least

Panahitaji imani kubwa sana. Siyo hii ya kwenda tu kanisani kila jumapili.
kuna vitu vingine huwa haviitaji kufunga na kuomba zaidi ya kutumia akili. Wewe upo kiroho na mtoa mada anazungumza kimwili.
Yusuph na Mariam walipoambiwa wamuondoe Yesu kumpeleka mahali pengine kwa kuwa herode angemuangamiza haikumaanisha kwamba nguvu ya herode ni kubwa kuliko ya Mungu. Mungu alikuwa na uwezo wa kumfanya lolote herode, lakini haikuwa ivo.
Yusuph na Mariam walitii but kwa wapendwa wa sasa wasiotaka kutumia akili wangegoma kwa kutegemea nguvu ya Mungu na mwishowe ni kuangamia.
Dont take GOD too serious, utamuelewa na kuna mambo hayawezi kukupa tabu.
Habari zenu member jf,nahitaji mni shauri silaha ambayo ni nzuri ya kujilinda kwasababu walishakuja kunivamia mara 4,nyumbani kwangu Bunju,n mara ya mwishu ilikuw kabla ya pasaka na siku nyingine ilikuwa mwenyewe na kunichukulia 2m,ndani ya gari,sasa nataka bastola amabayo naona ndo itakuwa dawa yao.
Kumbe kanisani watu wanakwenda kufanya nini kama hawana imani na Mungu? Au wanakwenda ili kuonekana na watu kwamba na wenyewe ni wanachama wa kanisa?Na wewe nani aliyekufundisha kuwa imani inapatikana kwa kwenda tu kanisani Jumapili? Jifunze zaidi
Kumbe kanisani watu wanakwenda kufanya nini kama hawana imani na Mungu? Au wanakwenda ili kuonekana na watu kwamba na wenyewe ni wanachama wa kanisa?