Nahitaji silaha ya kujilinda ambayo is the best

Nahitaji silaha ya kujilinda ambayo is the best

hayo mengine yote sijui ya imani etc tuachane nayo, badala yake kwa wale ambao tayari wanamiliki silaha tuelekezeni na sisi wengine, ni kwa namna gani mlizipata? Natamani kujua utaratibu pia wa kupata silaha, maana mtaani kwetu ni shida tupu. Kukicha bila kugongewa mlango unamshukuru Mungu.

Mkuu Nenda Kikosi cha Mizinga Upanga, watakupa utaratibu wa kupata Mguu wa kuku wako. Unatakiwa pia upitie Serikali za Mitaa ili waku recommend.
 
Mkuu Nenda Kikosi cha Mizinga Upanga, watakupa utaratibu wa kupata Mguu wa kuku wako. Unatakiwa pia upitie Serikali za Mitaa ili waku recommend.
Asante sana mkuu. ila hapa kwenye kupitia serikali za mitaa ndiyo noma, maana hao nao hawachelewi kutangaza kwamba una silaha, yakawa ni matatizo tena. Nashukuru angalau kwamba nimepata pa kuanzia.
 
Ajili mlinzi mkurya umkabidhi panga utalala kwa raha
 
Nivea nimesoma comments zako zote and remained to be puzzled, sijui hata nikusaidieje. Nway naweza kukuambia jambo hili tu MWAMINI YESU KRISTO KATIKA YOTE NA IMANI YAKO IWE DHABITI NAWE UTAYAONA YOTE YANAWEZEKANA. Achana na mifano ya kuchomwa moto makanisa wala kuuawa kwa padre,, simama katika imani yako wewe katika YESU KRISTO PEKEE. Hoja ya maaskofu kuwa na silaha ni hoja mfu, mbona nyumba zao zina milango? mbona wanakula na kunywa na kuvaa? Kuna mengi husiyojua kuhusu imani kwa Mungu katika Yesu Kristo

Jaribu kua mwerevu wewe.
Sawa kuna mambo ya Yesu, lakini lifikiri unakua umamtumaini Yesu huku na wewe unafanya Juhudi za kujilinda!!
 
aisee duniani kuna watu wa ajabu ,unajuaje imani yake !!!mbona yesu hakuzuia zile pesa kule mbaggala na makanisa kuchomwa ???? Hivo vitu vinabase kiimani zaidi mkuula sivo haifanyi kazi,yeye anataka silaha wewe unamwambia yyesu umpe basi akae hapo mlangoni kama ni silaha!!!

"Mda mwingine kumjibu mjinga yahitaji busara sana.,ujinga ni nusu ya mauti "
 
aliyekuambia viongozi wote wa kanisa wanamuabudu Yesu Kristo ni nani? wengine wana sanaa tu. Simama katika imani yako na itakuokoa.

Ndio maana nimesema viongozi wa dini, sijasema viongozi wa kanisa. Kuna tofauti kati ya viongozi wa kanisa na viongozi wa dini. Uongozi wa "kanisa" ni kitu kipana zaidi, na wanaweza kuwemo hata wasiokuwa na imani na dini hiyo lakini wamo kwa malengo yao. Hatahivyo, dini sio kanisa, ni imani ya mtu, inaweza kuwa dini ya asili/jadi ilmradi huyo Kiongozi wake ana imani nayo. Kwa nini asiridhike na imani hiyo kuwa itamlinda mpaka awe na cha moto ?
 
Bwana asipolinda mji, walindao wakesha bure.
Mwamini Bwana Yesu kristo wa Nazareth aliye hai, Naye atakulinda na mabaya yote

kwani ktk Zaburi 125:1 Biblia inasema
" Wamtumainiao BWANA ni kama mlima sayuni ambao hautatikisika, wakaa milele.
Kama milima inavyozunguka Yerusalemu ndivyo BWANA anavyowazunguka watu wake tangu sasa na hata milele"

KAZI KWAKO...BASI SAWA"

Mbona Israel ambapo Yesu alitumwa huko wanasilaha za maangamizi?
 
Bwana asipolinda mji, walindao wakesha bure.
Mwamini Bwana Yesu kristo wa Nazareth aliye hai, Naye atakulinda na mabaya yote

kwani ktk Zaburi 125:1 Biblia inasema
" Wamtumainiao BWANA ni kama mlima sayuni ambao hautatikisika, wakaa milele.
Kama milima inavyozunguka Yerusalemu ndivyo BWANA anavyowazunguka watu wake tangu sasa na hata milele"

KAZI KWAKO...BASI SAWA"

Duuu! kwani yule padre aliyeuawa kule Zenj hakumwamini "Bwana"? Mungu wa kweli hayupo kwa ajili ya watu wanaobweteka. Yupo karibu na watu wanajibidisha kutumia vipaji alivyowajalia kujiletea ahueni katika maisha yao!
 
Nenda Moshi au arusha kuna maduka ya tanganyika arms utajichagulia unayopenda kwa bei nzuri. . .zinaanzia laki 5, zipo mpaka mil na kuendelea, mi nnayo moja imetengenezewa Czech republic ya ukweli na si nzito sana.
 
Back
Top Bottom