Nahitaji series ya If loving you is wrong

Nahitaji series ya If loving you is wrong

Tuwaseme

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
645
Reaction score
1,197
Tafadhali wana jamvi mwenye hii series inaitwa If Loving you is wrong, nahitaji season ya 5 na kuendelea, please naomba kama unayo na upo Dar niambie nitakufata ulipo, nitakuja na flash kuichukua.. naomba ni PM tafadhali. Asante sana.

Polite Request:
If u dnt have it please reserve ur comment, dont tell me to go download it..
 
nenda jukwaa la Entertainment kule utapata bila shida
 
Tafadhali wana jamvi mwenye hii series inaitwa If Loving you is wrong, nahitaji season ya 5 na kuendelea, please naomba kama unayo na upo Dar niambie nitakufata ulipo, nitakuja na flash kuichukua.. naomba ni PM tafadhali. Asante sana.

Polite Request:
If u dnt have it please reserve ur comment, dont tell me to go download it..
Mimi ninayo season ya 5 na season ya 6 ambayo mpaka leo imetoka episode ya 7. nichek tufanye biashara
 
Hata Mimi nilikomea 5 jamaa katiwa sandukuni kutoka na Mke Wa mzungu....duhh nimetafuta season 6 mpaka nimeshasaha....ukipata ni...pm mkuu tuongee
 
Download kupitia chrome au ucbrowser ila siyo opera lakin inatakiwa uwe kama unaitazama online ili upewe option ya kudownload kitu ambacho kwenye opera hakipo.zinapatikana sana kwenye blog ya urban.ww andika jina la series,season then ep ngap malizia na urban utazipata.eg if loving you is wrong s07e06 urban
 
Back
Top Bottom