Unahitaji sapota au sapoti? Kama sapoti (support) utaipata mkuu. Ila kama sapota(supporter) kuwapata ni ngumu,kwani hapa JF naamini members wapo kwajili ya kutoa mawazo,changamoto na maoni mbalimbali yenye lengo la kutafuta njia za kuleta unafuu wa kimaisha na maendeleo hapa TZ.