Nahitaji recipe ya mapishi ya cheulo

Cheulo ni zile tambi zinatengenezwa kwa unga wa dengu? farkhina malizia me nishaanza
 
Last edited by a moderator:
jamani nazipenda kweli alafu hata cjuai zinatengenezaje
 
CHAURO
njugu robo kilo zikaange kwa mafuta,
ukisha kaanga pepeta kilo 1 pia kaanga kwa mafuta km njugu,
chukua bakuli tia unga wa dengu robo kilo tia maji kidogo chumvi na bizari kidogo.uponde uchanganyike uwe mzito zito, tia ktk machine ya chauro pika chauro utapika tambi zako za unga wa dengu ktk mafuta ya njugu na pepeta.ukimaliza tia ktk bakuli vitu vyote ulokaanga tia pilipili na chumvi km utahitaji
tayari chauro.
Cc farkhina La Cosa Mia atoto
 
Last edited by a moderator:
ni kama mchele uliokaangwa na umetiwa rangi, unauzwa sana uswahilini

CHAURO
njugu robo kilo zikaange kwa mafuta,
ukisha kaanga pepeta kilo 1 pia kaanga kwa mafuta km njugu,
chukua bakuli tia unga wa dengu robo kilo tia maji kidogo chumvi na bizari kidogo.uponde uchanganyike uwe mzito zito, tia ktk machine ya chauro pika chauro utapika tambi zako za unga wa dengu ktk mafuta ya njugu na pepeta.ukimaliza tia ktk bakuli vitu vyote ulokaanga tia pilipili na chumvi km utahitaji
tayari chauro.
Cc farkhina La Cosa Mia atoto

hasante mama, japo nadhani sio hizo alizoulizia, ni zile za kutengenezwa kwa mchele
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom