Nahitaji Range rover sport ya kukodisha kwenye harusi

Mkuu na range Rover mpya new model vague na nyingine Sport rangi metalic ila hazijasajiliwa zimepita bandarin kwa njia ya magendo! vipi nikupe ukazisajili uzitumie bure siku mbili ya sherehe yenu ya harusi!

Hii offer unayotoa na hilo jina lako dah. .
 
You have to be a poor man to think on those lines!
Watu hamjui kuwa matajiri ambao wameipata hela yao kwa shida ni watu very economical!
Kaombe msaada kwa Richard Branson kama utaambulia kitu.
Sasa Richard Branson ndo nani? excuse my ignorance, umeipata hela kwa tabu, umehangaika kwa tabu nyingi sasa umepata unaona hasara kutumia au kugharamia kitu ambacho umehangaika kukipata....poor mind rich mind..whatever the case might be...it is solely pointless kununua gari milioni 70 halafu limepata hitilafu ya milioni 1 kuanza kulalama oohh....mlango wa Range bei ghali sana...nigga pleaseee si ungenunua corolla sasa...just think out of the box rich people always know how to add an asset which in the end contemplates their luxury life style...
 
Si ujinunulie mkuu , ukate kiu yako?
 
Harusi mnatumia Range Rovar Sport then Honey Moon mnaenda kulala City Style rooms 25000-40000....ama kwelo dunia ina mambo
 
Wadau, natafuta range rover sport ya kukodisha kwenye harusi siku ya jumapili tarehe 14/12. Gari itapambiwa school of law karibu na kituo kipya cha daladala cha ubungo then itaenda kumchukua bibi harusi Sinza Africa sana then itaenda kanisani Magomeni Mwembechai then itaenda EPZA Ubungo external then itaenda ukumbini school of law karibu na kituo kipya cha daladala ubungo.

Baada ya harusi kuisha gari itawapeleka maharusi city style hotel takribani mita 500 kutoka ukumbini.

Mwenye gari ani pm then aweke na bei.

Budget ya kukodisha rabge rover sports per day 500,000/= dereva wa coy siku 2 means 1,000,000/= ila mafuta yako
 
Wadau, natafuta range rover sport ya kukodisha kwenye harusi siku ya jumapili tarehe 14/12. Gari itapambiwa school of law karibu na kituo kipya cha daladala cha ubungo then itaenda kumchukua bibi harusi Sinza Africa sana then itaenda kanisani Magomeni Mwembechai then itaenda EPZA Ubungo external then itaenda ukumbini school of law karibu na kituo kipya cha daladala ubungo.

Baada ya harusi kuisha gari itawapeleka maharusi city style hotel takribani mita 500 kutoka ukumbini.

Mwenye gari ani pm then aweke na bei.

Contact 0712738281 kama hujapata
 
Back
Top Bottom