Nahitaji Range rover sport ya kukodisha kwenye harusi

E52

Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
81
Reaction score
14
Wadau, natafuta range rover sport ya kukodisha kwenye harusi siku ya jumapili tarehe 14/12. Gari itapambiwa school of law karibu na kituo kipya cha daladala cha ubungo then itaenda kumchukua bibi harusi Sinza Africa sana then itaenda kanisani Magomeni Mwembechai then itaenda EPZA Ubungo external then itaenda ukumbini school of law karibu na kituo kipya cha daladala ubungo.

Baada ya harusi kuisha gari itawapeleka maharusi city style hotel takribani mita 500 kutoka ukumbini.

Mwenye gari ani pm then aweke na bei.
 
Budget yenu ni bei gani? Maximum or minimum
 
mtu anaukiza nani anayo range sport ili jamaa akodi wwngine mnaanza kupinda kama hauna kaaa kimyaaaa tu.....
 
Wadau, natafuta range rover sport ya kukodisha kwenye harusi siku ya jumapili tarehe 14/12. Gari itapambiwa school of law karibu na kituo kipya cha daladala cha ubungo then itaenda kumchukua bibi harusi
Sinza Africa sana then itaenda kanisani Magomeni Mwembechai then itaenda EPZA Ubungo external then itaenda ukumbini school of law karibu na kituo kipya cha daladala ubungo.

Baada ya harusi kuisha gari itawapeleka maharusi city style hotel takribani mita 500 kutoka ukumbini.

Mwenye gari ani pm then aweke na bei.

Naomba unicheki apa mkuu 0755 927881(whatsap) ili nikutumie picha....
 
Wadau, natafuta range rover sport ya kukodisha kwenye harusi siku ya jumapili tarehe 14/12. Gari itapambiwa school of law karibu na kituo kipya cha daladala cha ubungo then itaenda kumchukua bibi harusi Sinza Africa sana then itaenda kanisani Magomeni Mwembechai then itaenda EPZA Ubungo external then itaenda ukumbini school of law karibu na kituo kipya cha daladala ubungo.

Baada ya harusi kuisha gari itawapeleka maharusi city style hotel takribani mita 500 kutoka ukumbini.

Mwenye gari ani pm then aweke na bei.

Utakuwa una matatizo, hakuna mtu mwenye uwezo wa kununua hiyo gari halafu aje akodishe kwako siku ya harusi, huo ni umburula uliopitiliza! Mimi nina Toyota Landcruiser 200 (GXR) ya mwaka 12/2013 na kamwe siwezi kuikodisha kwa maana kama mkigonga hiyo gharama ya kuitengeneza ni sawa na harusi yako yote pmj na sendoff!
 
Acha mbwembwe wewe!! Uliiba nini ukapata hio gari??? Kwani hujakata insuarance ya gari yako!
 
Mkuu na range Rover mpya new model vague na nyingine Sport rangi metalic ila hazijasajiliwa zimepita bandarin kwa njia ya magendo! vipi nikupe ukazisajili uzitumie bure siku mbili ya sherehe yenu ya harusi!
 
Utakuwa una matatizo, hakuna mtu mwenye uwezo wa kununua hiyo gari halafu aje akodishe kwako siku ya harusi, huo ni umburula uliopitiliza! Mimi nina Toyota Landcruiser 200 (GXR) ya mwaka 12/2013 na kamwe siwezi kuikodisha kwa maana kama mkigonga hiyo gharama ya kuitengeneza ni sawa na harusi yako yote pmj na sendoff!
Ha ha ha !!
Mkuu ndicho kitu najaribu kubaeleza batu hapa kwa njia nyingine, habelewi!
Mtu hajui kuwa mtu mwenye gari la Tshs 300+million hana shida ya kukodisha gari lake hata kwa laki tano kwa siku, maana potential damage ya kuibiwa side mirror tu usumbufu wake ni zaidi ya hapo.
Watu waishi kwa uwezo wao.
 
Ukimaliza hiyo mizunguko na gari la kukodi nini kitafuata katika maisha yako? I mean utarudi uswahili au ndio basi tena?
 
Acha mbwembwe wewe!! Uliiba nini ukapata hio gari??? Kwani hujakata insuarance ya gari yako!

Mkuu hawa ndugu zake Rugemarila tushawazoea humu jamvini wala asikupe tabu.

Wahaya ndivyo walivyo.
 
Back
Top Bottom