Mume WA MTU pia ruksa?Nahitaji rafiki wa Kiume Umri kuanzia miaka 30-36
Asantee
Chukua Jimbo Hilo 😊Ongeza details zako
Yaliwai mkuta mdude chadema...kwa kupendwa na demu kareee....Mtatekwa anaweza kuwa mafwere anatafuta watu
Hapana mkuu sihitaji marafiki kama fid Q. Nnao wengi mpaka natamani niwagawie.Chukua Jimbo Hilo 😊
☺️ Noma sanaaaaaaHapana mkuu sihitaji marafiki kama fid Q. Nnao wengi mpaka natamani niwagawie.
Au nmpe jamaa yangu mmoja aruke nae☺️ Noma sanaaaaaa
secretarybirdAu nmpe jamaa yangu mmoja aruke nae
Niko tayari kuwa rafiki wa huyo bibie kwani nimetimiza vigezo vyote.
Ngoja nimsaidie kuongezea,Ongeza details zako
Hakika mkuuNgoja nimsaidie kuongezea,
Awe dini yoyote, awe na kazi yake na awe na uwezo wa kuhudumia
Poor Brain
Upo below 30Miaka 30 sina mimi
NdioUpo below 30