mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,257
- 2,933
Lile li haya land hov lije hapa Sasa waje walishike liminywe kende😂😂
Kuna maombi ya siku 40 mzee wangu toka kwenye majukwaa haya kwanzaMsg imeeleweka lakini?
SidhaniMsg imeeleweka lakini?
Aliyepost ni mdada?Mdada akipost kuhusu kutafuta rafiki au mpenzi humu jopo la wanaume kuongea mizaha linakua kubwa sijui kwanini,??
Wanaume nao wanaomba urafiki Kwa wanaume wenzao😳😳Aliyepost ni mdada?
Yaani kuna kiashiria kipi humu mtandaoni kuwa muanzisha uzi ni mdada?Wanaume nao wanaomba urafiki Kwa wanaume wenzao😳😳
☺️😊 Hakuna kulaza damuu ni kuchakata kwa KIWANGO kile cha SGR.Niko tayari kuwa rafiki wa huyo bibie kwani nimetimiza vigezo vyote.
Ume unatusalimia siki kaka zako wakubwa.Ndio
Unachokisema ndicho ninachokifikiraia.☺️😊 Hakuna kulaza damuu ni kuchakata kwa KIWANGO kile cha SGR.
😅😅😅😅Nahitaji rafiki wa Kiume Umri kuanzia miaka 30-36
Asantee
Ndio walio wengi jf.Mdada akipost kuhusu kutafuta rafiki au mpenzi humu jopo la wanaume kuongea mizaha linakua kubwa sijui kwanini,??
Kama utahitaji Sponsor aka Pedeshee wa kulipa bills ndogo ndogo za hapa na pale! Basi mimi nipo nimejaa tele.Nahitaji rafiki wa Kiume Umri kuanzia miaka 30-36
Asantee
Hawajiamini😅Mdada akipost kuhusu kutafuta rafiki au mpenzi humu jopo la wanaume kuongea mizaha linakua kubwa sijui kwanini,??