nimekwelewa mkuu!!! lakini si lazima iwe fifa!! je ni gemu gani au softwares gani zimetengenezwa tz na zinatumika kama ilivyo kwa windows na nyinkginezo???Kwanza kabisa hatuna capital ya namna hiyo, Fifa probably inacost around $100 milion kuitengeneza. Pili hakuna workforce yenye skills hizo hapa Tanzania na hakuna local market pia.
Tatu, industry ya gemu ni ngumu sana kupata mafanikio, hata ningekuwa ninayo hiyo 100 million nisingeingia humo, kwa kila hit video game unayoijua kuna 1000 of games ambazo hazikutengeneza hata centi.
Na hata waliotengeneza game ikiwa hit mara nyingi they don't make it financially kwa sababu ya costs kubwa.
Midway, watengenezaji wa Mortal Combat, NBA Jam
Zipper, watengenezaji wa SOCOM Navy seals
Barking Dog- Max Payne 3
THQ - UFC Undisputed
Wote hao wako bankrupt au washakufa kabisa.
hata kama si kitu rahisi...je ni kitu gani kimetengenezwa ambacho sio complicated kama hizo games?? walau na sisi tuwetunangojea software au any application let say ya juakali itoke mwakani???!! au tunangojea vya nje!!!Siiyo kwamba kwa vile wameeleza jinsi ya kutengeneza hizo game ukafikiri ni kitu rahisi.
hata kama si kitu rahisi...je ni kitu gani kimetengenezwa ambacho sio complicated kama hizo games?? walau na sisi tuwetunangojea software au any application let say ya juakali itoke mwakani???!! au tunangojea vya nje!!!
hilo ndilo jibu mengine mbwembwe!!! naamini wataalam wa kompyuta wapo wengi sana humu nchini, lazima tukubali ukweli na tuache visingizio mara najua afu kuteneza sijui sasa mnajua nini??? maswala yakuwekea watu windows na kuformat pc i mambo yalishapitwa na hata mtoto wa la saba anaweza fanya iyo kazi, embu tuamke wakuu maana hili tatizo sio kwa wataalamu kompyuta tu na wengine pia wanahusika kila mmoja katika nafasi yake.
kijana listen, hii system ni a bit complicated. Ntaongelea myself as an example. Suala sio capital tu like what most people said, mimi kama umesoma my previous comment hapo juu i used to make games, nilikua natengeneza like level 1 au 2 tu ya hivi vigame vidogo vidogo tu i loved it sana, i was so determined nilikua najifunza mpaka kuandika script mwenyewe (mind you nilikua form two at dat time, zamani sana) ila baada ya kukosa both support and necessary education, well nikaachana nayo na kubaki na animate just for fun of it(maana its the closest thing, to that). Sikuhizi nikimaliza all my work i just sit around and make stuff like this
.
https://docs.google.com/file/d/0B4V7QyehEzrRV3hwUXlUc3BHSlU/edit?usp=sharing
.
Naamini kama 'ningepataga' like support and stuff i would have became greatest animator hapa ila ndo hivo, i just do it for my own entertainment. Nnachosema hapa ni kua System yetu haiko both supportive and conducive kwa hiyo industry.
nimekubaliana na wewe 100%!!! kinachonishangaza hata kama ukisema ni capital, unatarajia utapewa 1bil kwa mkupuo?? je wewe kama wewe ushajaribu au ushatengeneza game gani afu ukakosa capital???
unaposema timu kubwa una maanisha nini mkuu?? kama ni watu, je ni wangapi wapo tokea Tanzania inapata uhuru mpaka leo na kipindi chote hicho hiyo timu haijatimia??
ni sawa, siwezi kataa!! na je hilo gemu lililotengenezwa na mtu mmoja liko wapi??? kama unaweza nipatia link walau nione itakua bora zaidi!!
sio kwamba nataka bishana na wewe/nyie, ila inasikitisha sana kuona wataalamu tunao(japo sio wa kompyuta tu) lakini mpaka leo hatugungua hata kaflash disk ka 1byte tunangojea tu wazungu watuletee na tukikesha kubisha mara huyu ni bora kushinda yule wakati hamna lolote!!!
nimekwelewa mkuu!!! lakini si lazima iwe fifa!! je ni gemu gani au softwares gani zimetengenezwa tz na zinatumika kama ilivyo kwa windows na nyinkginezo???
Hata uishi miaka 1000 hutaweza kuitengeneza! Game kama fifa ina lines of codes kama million 4 na ww huwez kuandika hata 10000 kwa mwaka mzima! Its team work and mostly improving from past versions(bug fixing) and mordezing(quality and reality)
hata kama si kitu rahisi...je ni kitu gani kimetengenezwa ambacho sio complicated kama hizo games?? walau na sisi tuwetunangojea software au any application let say ya juakali itoke mwakani???!! au tunangojea vya nje!!!
Kwani O-Level na H-Level calculator zao zina tofauti gani na hizi zilizopo online? UKitaka fanya biashara andika kitu unique otherwise kila siku tutazidi kupiga kelele software za wabongo hazina soko.Calculator ya division kwa o level na a level ya nyasiro pamoja na kasuku media player ya stefano.
Hio ni mifano ya humu ndani, ukienda store za microsoft., google na apple unakuta pia software za wabongo
Tafadhali nsaidien
Kwani O-Level na H-Level calculator zao zina tofauti gani na hizi zilizopo online? UKitaka fanya biashara andika kitu unique otherwise kila siku tutazidi kupiga kelele software za wabongo hazina soko.
Point yangu kubwa hapo ni utofauti lakini maelezo yako sijaona tofauti yoyote kwani almost software yoyote iliyoandikwa kwa matumizi ya mahesabu inaweza fanya kila kitu ulichoeleza hapo juu.Ni tofauti inajumilisha, inatafuta wastani halafu inaipa kila maksi grade kama ni a, b, c na kuendelea then mwisho ina analyze hizo grade na kutoa division ya mwanafunzi kwa one click
Kizuri zaidi inapanga matokeo kiasi unaweza kuyaprint grade za mwanafunz, marks na division vikaonekana.
Imetengenezwa full optimised kwa grade za kibongo
Point yangu kubwa hapo ni utofauti lakini maelezo yako sijaona tofauti yoyote kwani almost software yoyote iliyoandikwa kwa matumizi ya mahesabu inaweza fanya kila kitu ulichoeleza hapo juu.
Waheshimiwa Good Guy, Kang na wengine kama middlebopper...maelezo yenu ni mazuri sana kiasi kwamba hata mimi nnaejua kidogo kuhusu kompyuta nimeelewa ni kwa namna gan hizi games zinatengenezwa!!! Kinachonichanganya ni kwamba inakuaje mnajua yote haya na sijawahi sikia(wenda vipo) kuna gemu au kitu kingine kimetengenezwa hapa kwetu?? Na sisi tiwe tunangojea mtoe fifa 16 au 14!! Mnaojua na tusiojua wote tunangoja wamarekani na wazungu watengeneze na sisi wote ndo tutumie!! Sasa hapa kuna tofauti gani nyie mnaojua na sie tisio jua?? Au mnangoja siri-kali iwawezeshe!??
.........
Ndio kama hao hapo juu wanajua game linatengenezwaje ila hawajui kulitengeneza
Kwanza kabisa ......
Tatu, ......
Midway, watengenezaji wa .....
....Wote hao wako bankrupt au washakufa kabisa.