Nahitaji program ipi ntengeneze game kama fifa 14

Nahitaji program ipi ntengeneze game kama fifa 14

Hata uishi miaka 1000 hutaweza kuitengeneza! Game kama fifa ina lines of codes kama million 4 na ww huwez kuandika hata 10000 kwa mwaka mzima! Its team work and mostly improving from past versions(bug fixing) and mordezing(quality and reality)
mkuu simaanishi game tu!!! mbona kuna mambo mengi sana ambayo ya mwimu mnaweza fanya mkaleta maendeleo kwenye nchi inayovuja!!! na huku tukitegemea kila kitu from abroad!!! inaniuma sana mtu kutoka chuo ana first class alafu yuko mtaani anafundisha twisheni ya form one!!! hapa siongelei watu wa i.t tu hata kada nyingine!!!!
 
Kwani O-Level na H-Level calculator zao zina tofauti gani na hizi zilizopo online? UKitaka fanya biashara andika kitu unique otherwise kila siku tutazidi kupiga kelele software za wabongo hazina soko.

Hii software ni unique spreadsheet kabisa unaweza pitia discussion ya nyuma hapa: https://www.jamiiforums.com/tech-ga...ee-professional-%96%93a-spreadsheet%94-3.html

Ni tofauti inajumilisha, inatafuta wastani halafu inaipa kila maksi grade kama ni a, b, c na kuendelea then mwisho ina analyze hizo grade na kutoa division ya mwanafunzi kwa one click

Kizuri zaidi inapanga matokeo kiasi unaweza kuyaprint grade za mwanafunz, marks na division vikaonekana.

Imetengenezwa full optimised kwa grade za kibongo

upo sawa kabisa chief-mkwawa hii ni zaidi ya calculator...hapo kuna vitu vingine vingi sana ambavyo vinaifanya iwe stable & accurate

Point yangu kubwa hapo ni utofauti lakini maelezo yako sijaona tofauti yoyote kwani almost software yoyote iliyoandikwa kwa matumizi ya mahesabu inaweza fanya kila kitu ulichoeleza hapo juu.

mkuu JuaKali naomba u-download copy yako ya hii software hapa: A|CSEE Professional Free Download

Mkuu hiyo calculator si calculator ya kawaida, ni software ya kufanyia calculation ya matokeo ikiwa na maana kwamba mtu anafanya kujaza marks za kila somo la mwanafunzi yenyewe itajumulisha marks, itoe average, grades, mpaka division ya kila mwanafunzi. Mwalimu anakuwa hana haja ya ku calculate hayo yeye ni kuingiza marks tu

more info na help pliz check : www.nyasiro.com/help/acsee
Check software nyingine from TZ hapa: More programs by Nyasiro K. Nyasiro
 
Last edited by a moderator:
Kibongobongo mambo ya software hayalipi kabisa.

* Watanzania ni wagumu kutoa pesa (unatumia software ngapi za halali kwenye pc yako/simu?)
* Halafu wanadhani kutengeneza software ni kazi rahisi... kwa hivi juzi nimetoka kukabidhi software moja kali sana.. lakini katika development yule bosi wangu alikuwa anadhani ni kitu rahisi cha kutumia siku moja na unakuta mtu ana-request feature bila kujua what is happening kwenye background halafu malipo yanayokuja ni hela ndogo sana.

watu wanaojua haya mambo wapo na kampuni za software zipo sema huwezi jua kwa sababu zinachukua tenda na kufanya kazi za watu binafsi au makampuni na taasisi mbalimbali..
 
Mkuu hiyo calculator si calculator ya kawaida, ni software ya kufanyia calculation ya matokeo ikiwa na maana kwamba mtu anafanya kujaza marks za kila somo la mwanafunzi yenyewe itajumulisha marks, itoe average, grades, mpaka division ya kila mwanafunzi. Mwalimu anakuwa hana haja ya ku calculate hayo yeye ni kuingiza marks tu
Labda nikuulize swali, umewahi kuandika kisoftware angalau kidogo? Unaweza ukaona kitu babu kubwa kwa sababu hujui kinavyotengenezwa. Uliza mtu yeyote anayejua kucode atakwambia hiyo software haitamchukua zaidi ya saa moja kuiandika. Mfano C++ ina library nzima ya math kazi yako ni kuita function (function call) inayohusiana na hesabu unayotaka kufanya. Kupanga grade na division ni kitu kidogo sana.
 
Kwa mantiki yako software mtu aliyocode miaka 100 ni bora kuliko mtu aliyocode saa 1.

Hebu tuangalie mwalimu anafaidishwa vp na gta 5 vs calculator ya nyasiro

Cha muhimu ni jinsi gani hio software itakavyosaidia jamii. Hata itumie sekunde kutengeneza as long as inasaidia ni nzuri.

Hapo akiongezea na ocr mwalimu hata kuchapa hatachapa kila kitu kitakua automatic
 
Nimewahi kuandika, na ninaandika kwasababu mimi nasoma programming kwa hiyo unaloongelea nalielewa.
Unaweza soma ukajua kitu lakini usiimpliment hata chochote haijalishi ni rahisi kiasi gani.
Lakini mwenzake kafikiria alichosoma, akaona kwanini asijaribu kuwarahisishia kazi waalimu na watu wengine ambao hawana idea about coding ndipo aka code hiyo program.
Ni wangapi wanajua programming, na kwamba basic tasks are within libraries una zi recall.

Labda nikuulize swali, umewahi kuandika kisoftware angalau kidogo? Unaweza ukaona kitu babu kubwa kwa sababu hujui kinavyotengenezwa. Uliza mtu yeyote anayejua kucode atakwambia hiyo software haitamchukua zaidi ya saa moja kuiandika. Mfano C++ ina library nzima ya math kazi yako ni kuita function (function call) inayohusiana na hesabu unayotaka kufanya. Kupanga grade na division ni kitu kidogo sana.
 
Nimewahi kuandika, na ninaandika kwasababu mimi nasoma programming kwa hiyo unaloongelea nalielewa.
Unaweza soma ukajua kitu lakini usiimpliment hata chochote haijalishi ni rahisi kiasi gani.
Lakini mwenzake kafikiria alichosoma, akaona kwanini asijaribu kuwarahisishia kazi waalimu na watu wengine ambao hawana idea about coding ndipo aka code hiyo program.
Ni wangapi wanajua programming, na kwamba basic tasks are within libraries una zi recall.

elmagnifico,hili la kujua kitu halafu usikiimplement ndilo tatizo lenyewe. Nchi ikiwa na watu wengi "wanaojua" halafu hawaimplement itaishia kuwa na "wachambuzi" (wajuaji/wajuvi) tu na haitasonga mbele. Ni rahisi katika nchi zetu kumsikia mtu akisema "Aah hiyo simpo tu" lakini hutaona alichofanya yeye.. japo yaweza kuwa kweli kitu hicho ni simpo tu kama asemavyo.

Ni lazima tuwe na pa kuanzia. Ni lazima wawepo watu wa kujitoa mhanga.... sasa kwanini isiwe wewe?
 
Mkuu kutengeneza game kama la Fifa linahitaji capial kwaza kwasababu ya vifaavinvyo hitaika kaa moton capture na sensors.
Kwa mfano nilikuwa na video jinsi walivyokuwa wanatengeneza gameya need for speed black carbon. Ni team kubwa na wana capture sound za really cars zikiwa kwenye race, drifting na watu wanaigiza kweli wana capture motions na facial expressions zao.
studio zao zina advanced equipments sio laptops tu. Na kwetu sisi inakuwa ngumu kwa sababu mtu mmoja anataka atengeneze kuazia grahics mpaka coding wakati hata game dogo kama zuma halikutengenezwa na mtu mmoja

msipende kukatishana tamaa kila kitu ni kujaribu someni comment za wengine zinavyo incourage mtu kujifunza kama bwana mmoja apo juu aliposhauri aanze na simple 2D then akisha horn skills zake ataendelea kwenye photoshop nk..... tujenge utamaduni wa kumuincourage someone kujifunza!!!
 
Kibongobongo mambo ya software hayalipi kabisa.

* Watanzania ni wagumu kutoa pesa (unatumia software ngapi za halali kwenye pc yako/simu?)
* Halafu wanadhani kutengeneza software ni kazi rahisi... kwa hivi juzi nimetoka kukabidhi software moja kali sana.. lakini katika development yule bosi wangu alikuwa anadhani ni kitu rahisi cha kutumia siku moja na unakuta mtu ana-request feature bila kujua what is happening kwenye background halafu malipo yanayokuja ni hela ndogo sana.

watu wanaojua haya mambo wapo na kampuni za software zipo sema huwezi jua kwa sababu zinachukua tenda na kufanya kazi za watu binafsi au makampuni na taasisi mbalimbali..

ungeweka demo version pia nadhan ingeasaidia ku kick start sales!!!
 
It's like we are trying to possibilize the impossibilty. Anaeomba msaada wa kutengeneza game hafahamu software zinazotumika! In other words hata software zenyewe hawezi kuzitengeneza and yet anataka software ili atengeneze games. Mi nadhani tuenze kujifunza japo kutengeneza software japo za graphic designs kabla ya kuanza kuwaza complex issues
 
Sija mdiscourage, aliomba kueleweshwa software zinazotumika nikamuhabarisha kuwa it is not all about softwares kuna mambo mengi yanahitajika kutengeneza game kama fifa.
Angeuliza kuhusu game kama zuma, ningempa baadhi ya softwares maana am sure hilo linaweza tengenezwa na mtu na pc yake na softwares zake tu.
msipende kukatishana tamaa kila kitu ni kujaribu someni comment za wengine zinavyo incourage mtu kujifunza kama bwana mmoja apo juu aliposhauri aanze na simple 2D then akisha horn skills zake ataendelea kwenye photoshop nk..... tujenge utamaduni wa kumuincourage someone kujifunza!!!
 
Kibongobongo mambo ya software hayalipi kabisa.

kwa hivi juzi nimetoka kukabidhi software moja kali sana.. lakini katika development yule bosi wangu alikuwa anadhani ni kitu rahisi cha kutumia siku moja na unakuta mtu ana-request feature bila kujua what is happening kwenye background

Maybe you need to change your approach, create software as a service, badala ya kutengeneza software na kumuuzia mtu then usubiri mpaka ulipwe na boss wako, create it as your own project, offer it as a service to many people, i'm sure you will make more money doing that. Pia kuhusu boss wako kurequest features, that's normal in software development and he should expect you to do it as soon as possible, sasa kama umetumia a bad programming language then hiyo ni shida yako, kuna languagea ambazo any feature can be added within a short time i know for example in Ruby(kama unatumai ruby on rails) features can be rolled up in hours or even less depending on how good you are with it so usimlaumu boss kwa kukupush uongeze features, labda alisoma somewhere that RoR can make development faster, learn a better language then, don't give excuses bro.
 
ungeweka demo version pia nadhan ingeasaidia ku kick start sales!!!

Kwakua hii ilikuwa ni kazi ya mtu kwa ajili ya biashara zake ntamuomba ruhusa yake angalau niweke video....
 
Back
Top Bottom