mkuu si kwamba hakuna games zilizotengenezwa na watanzania, zipo ni games ndogo na hazivutii kucheza
Mimi nimeanza ona games zilizotengenezsa na mbongo kitambo kidogo nakumbuka ilikuwa mwaka 2005 nadhani katika pitapita zangu
nilikutana na kiwebsite cha jamaa mmoja anaitwa George Buliki kilikuwa na magames na ndiyo mara ya kwanza naona kijana mdogo ametengeneza website nilishangaa sana.
Ninapoongelea suala la capital mkuu coding is not all that is needed kwamba ukae na computer yako nyumbani basi uanze ku code. Ili kuleta reality kuna mambo mengi yanahitajika.
Mfano Fifa ni game la mpira hivyo lazima watakuwa na team ya watu wanaojua vizuri sheria za mpira bila kubahatisha.
Kutakuwa kuna research zinafanyika kabla ya kutengeneza hilo game na zitakuwa zinawa cost millions of dollars zaidi hata ya kutengeneza movie.
Kuna watata wa programming pale utawakuta ni itakuwa ni team kubwa si mtu mmoja afanye Programming ya game lote haiwezekani.
Utakuta wataalamu wa graphics wengi tu nadhani unaweza kuona kuwa ni kazi kubwa kutengeneza avatars za watu wote wale na japo ni vi cartoon lakini vibehave na kufanana na watu halisi.
Mkuu si kwamba hapa Bongo hakuna watu wanaojua lakini vitendea kazi na support ni ndogo sana, na mtu anakuwa hayukpo sure kama ata invest ela yake itarudi maana kutengeneza game jambo moja je litauzika.
Wenzetu wako mbele zaidi yetu na wanajua marketing ndiyo maana unaona kitu kama whatsapp kimeanzishwa marekani lakini haikuchukua muda mpaka wewe leo unaitumia, where did vodacom tanzania's the grid go?
Did anybody in USA or India ever hear of it?
Ona Instagram imeanzishwa juzi tu na haina lolote la maana lakini on ailivyo famous.
Mkuu jaribu ku google upate video uone game zinavyotengenezwa utakubariana na mimi kuwa kibongo bongo ni vigumu sana ni sawa na studios zilizotengeneza movie ya avatar mkuu.
Ningekuwekea games ambazo wabongo walishatengeneza lakini bahati mbaya sina link, lakini making flash games wengi wanatengeneza tu for fun ndiyo maana utazikuta kwenye pc zao tu.
nimekubaliana na wewe 100%!!! kinachonishangaza hata kama ukisema ni capital, unatarajia utapewa 1bil kwa mkupuo?? je wewe kama wewe ushajaribu au ushatengeneza game gani afu ukakosa capital???
unaposema timu kubwa una maanisha nini mkuu?? kama ni watu, je ni wangapi wapo tokea Tanzania inapata uhuru mpaka leo na kipindi chote hicho hiyo timu haijatimia??
ni sawa, siwezi kataa!! na je hilo gemu lililotengenezwa na mtu mmoja liko wapi??? kama unaweza nipatia link walau nione itakua bora zaidi!!
sio kwamba nataka bishana na wewe/nyie, ila inasikitisha sana kuona wataalamu tunao(japo sio wa kompyuta tu) lakini mpaka leo hatugungua hata kaflash disk ka 1byte tunangojea tu wazungu watuletee na tukikesha kubisha mara huyu ni bora kushinda yule wakati hamna lolote!!!