Nahitaji Pikipiki

shaja

Member
Mar 30, 2013
24
0
Habari wadau.

Nahitaji kupata pikipiki kwa ajili ya matumizi yangu binafsi. Bajeti yangu haitoshi kununua pikipiki mpya. Hivyo nahitaji kununu ambayo imetumika, laikini iwe katika hali nzuri, iswe ilitumika kwa bodaboda.

Na napenda zaidi boxer, yamaha au sanlg cg.

Mwenye nayo ani PM,budget yangu ni 1,200,000/=. Asanteni
 
Mkuu,ipo boxer nyeusi, ina namba mpya imetumika miezi mitatu.Ila bei yake ni 1,600,000/= ina bima ya mwaka mzima.Ongeza pesa uichukue ni kama bado mpya.
 
Mkuu,ipo boxer nyeusi, ina namba mpya imetumika miezi mitatu.Ila bei yake ni 1,600,000/= ina bima ya mwaka mzima.Ongeza pesa uichukue ni kama bado mpya.
1.3M tuongee biashara mkuu. Iko sehemu gani na kwa nini unauza? Ilikua inatumika kwa matumizi gani na imetembea mwendo gani? Bima ukisema mwaka mzima una maana gani? Kumbuka mwaka ndio umeisha hivi. Sema tarehe ya mwisho ya bima.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom