Nahitaji pesa za moto

Nahitaji pesa za moto

sasa hizo ndo mambo nazotaka mm_ kulala maskini kuamka tajiri
Kuna jamaa hapa mtaani alinambia wazo kama lako, then akampata mtu toka Malawi kama sikosei sehemu moja inaitwa Chitipa, msela akajikusanya akatimba huko ilikuwa kama February ivi, kaenda karudi we' sasa ivi mambo yake ni "Mtibwa" lkn ndo ivo hatoi code ukimuuliza yeye anakwambia tafuta 1m nikupeleke.....
 
Ok kama uko tayari kumtoa kafara mama yako mzazi na mtoto wako mmoja kama unaye kama huna basi nduguyo mwngne wa karibu sn atakuwa mbadala na utaish miaka 5 ukila bata ksha utatoa tena kafara nzto kuliko ya mwanzo utapata tena miaka 10 ya bata. Karibu pm.
 
umeanza maigizo yakutishana sasa
 
Back
Top Bottom