Nahitaji pc ya kazi used core i7, ram 16-32,

Nahitaji pc ya kazi used core i7, ram 16-32,

Wakuu habari za wakati huu, mwaka mpya unaingia nimrjipanga nianze kufanya issues za Interior Designing mambo ya sketchup so nahitaji pc yenye specs kama hizo hapo chini.

Intel Core i7/i9 or AMD Ryzen 7/9 series), at least 16-32GB of RAM (, a dedicated graphics card with at least 4GB of VRAM (NVIDIA GeForce RTX series.
Ushajua software unayotumia na kucheki requirements zake?
 
Back
Top Bottom