Nahitaji pc ya kazi used core i7, ram 16-32,

Nahitaji pc ya kazi used core i7, ram 16-32,

Hacking haitaji computer yenye specificions kubwa. Siri ya hacking ni uwezo mkubwa wa focus on jambo hadi uone matumizi katika namna ya ziada iliyo ya kawaida... Nina computer 5 Kila mmoja Ina kazi maalumu na spec tofauti.. Unaijua ALFA wewee 😅😅
View attachment 3524017

Mpe hi kijana wa ma jobless Intelligent businessman
🤣🤣🤣🤣 mambo ya kudaka mawimbi ya mbali ya wifi haya na kuwa na strong internet nitafutie nami yenye namba hii mkuu
39784.jpg
 
Wakuu habari za wakati huu, mwaka mpya unaingia nimrjipanga nianze kufanya issues za Interior Designing mambo ya sketchup so nahitaji pc yenye specs kama hizo hapo chini.

Intel Core i7/i9 or AMD Ryzen 7/9 series), at least 16-32GB of RAM (, a dedicated graphics card with at least 4GB of VRAM (NVIDIA GeForce RTX series.
Mcheki mbu wa dengue akuchekie za dubai ambapo bei yake ni nafuu kidogo
 
🥰🥰✌️✌️🙌🙌 nawajua sio kitoto yaan hebu siku moja uje pale K...... nyama tuje tuburudike mkuu
😅😅 nitakucheki mtalaamu, uzuri nipo around hata mida hii nipo Montana hapa
 
Back
Top Bottom