Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 1,849
- 3,757
Mkali kumbe nawe familia👋👋👋Nime ongea na jamaa 2, wame sema ngoja waingie mjengoni kesho ili wanipe majibu.
Mkali kumbe nawe familia👋👋👋Nime ongea na jamaa 2, wame sema ngoja waingie mjengoni kesho ili wanipe majibu.
😁😁 Hiyo fumba na kufumbua mzigo wote unahamishwa na kuacha backdoor"PENETRATION TESTERS" hapo kuna computer kamili na nyingine ni kama usb ya kawaida ila niunaweza kuiba data sekunde au kuweka soft kwa kifaa kingine cha ukadukua dgdhfjfhchfddhtitdbknxfbfbcncncdvvxcxcbcbc nimechoka mimi nalala😁😁😁🤣
Bro dosho12 njoo umuone ndugu yako anavyotiririka 🧐😁😁 Hiyo fumba na kufumbua mzigo wote unahamishwa na kuacha backdoor
😅😅 hadi gari akifunga mlango tunaifungua anatukuta tumekeaa ndani.. tunamsubiri. Hii ya kutumia advantage Kuna siku jamaa yangu amekwaza sehemu ya huduma flani, jamaa kamindi kaniambia nizipige chini A.C alafu tuondoke wateseke na joto hadi waje pata solution sie tumefika homeKumbe tuna hacker kwenye familia, sasa hivi haina haja ya kujisumbua kuomba omba namba kwa kila mtu akiringa tuna hack simu yake 😁 Thesonboy
😅😅😅 Mwaka gani mkuu😅 nataka kuoa kaka
nasikilizia kwanzq hii miezi kumi na moja ya mwanzoni itakuaje kisha nitatoa uamuzi nioe lini 😁😅😅😅 Mwaka gani mkuu
Kidude kinajaribu fanya yake 😅😅"PENETRATION TESTERS" hapo kuna computer kamili na nyingine ni kama usb ya kawaida ila niunaweza kuiba data sekunde au kuweka soft kwa kifaa kingine cha ukadukua dgdhfjfhchfddhtitdbknxfbfbcncncdvvxcxcbcbc nimechoka mimi nalala😁😁😁🤣
😅😅😅 Imeisha hiyo.. hakuna muoaji labda upigwe na limbwatanasikilizia kwanzq hii miezi kumi na moja ya mwanzoni itakuaje kisha nitatoa uamuzi nioe lini 😁
hata nikipata lishangazi liniteke ni sawa 😁😅😅😅 Imeisha hiyo.. hakuna muoaji labda upigwe na limbwata
Mke wangu namuwekea firewall 😁Kidude kinajaribu fanya yake 😅😅View attachment 3524500
Hapa kisaidie na mkuu dosho12 ku mscan mke wake 😅
😅 🙌🙌.. sie yetu macho, tumekabiza miezi 11Mke wangu namuwekea firewall 😁
🙌🙌 mbombo khafuu kaishaa hivyoKidude kinajaribu fanya yake 😅😅View attachment 3524500
Hapa kisaidie na mkuu dosho12 ku mscan mke wake 😅
Ukute ni NASA au wale waliotuzimia mtandao wakati wa maandamanoJamaa anafanya kazi NASA