Computer kama hizi ndo unakuta hata ku hack NASA unaweza
Hacking haitaji computer yenye specificions kubwa. Siri ya hacking ni uwezo mkubwa wa focus on jambo hadi uone matumizi katika namna ya ziada iliyo ya kawaida... Nina computer 5 Kila mmoja Ina kazi maalumu na spec tofauti.. Unaijua ALFA wewee 😅😅Computer kama hizi ndo unakuta hata ku hack NASA unaweza
Tajiri unantenga, naomba tuongelee ile lenovo mkuuu 0623123369Hacking haitaji computer yenye specificions kubwa. Siri ya hacking ni uwezo mkubwa wa focus on jambo hadi uone matumizi katika namna ya ziada iliyo ya kawaida... Nina computer 5 Kila mmoja Ina kazi maalumu na spec tofauti.. Unaijua ALFA wewee
View attachment 3524017
Mpe hi kijana wa ma jobless Intelligent businessman
Jana umeituma hapa then ukapoteaaa mazima mkuuuHacking haitaji computer yenye specificions kubwa. Siri ya hacking ni uwezo mkubwa wa focus on jambo hadi uone matumizi katika namna ya ziada iliyo ya kawaida... Nina computer 5 Kila mmoja Ina kazi maalumu na spec tofauti.. Unaijua ALFA wewee
View attachment 3524017
Mpe hi kijana wa ma jobless Intelligent businessman
Nafungua PM kaka! SamahaniTajiri unantenga, naomba tuongelee ile lenovo mkuuu 0623123369
Nilipitiwa, mzee majukumu. Naomba uje PMJana umeituma hapa then ukapoteaaa mazima mkuuu
Baridi,namcheki mida ya jioni. Kama watakuwa nayo nita mtuma kijana aka kague Mali.Sijapata bado mkuu, nitashkuru sana.
Nisha kujua kenge weeNilipitiwa, mzee majukumu. Naomba uje PM
😎😎😎Nisha kujua kenge wee
Hyo ram 32 aiseeeeYaaah hii ni machine haswaa
Mmmmh we kaka ni data analytics nini haya madude ndo manini et..Hacking haitaji computer yenye specificions kubwa. Siri ya hacking ni uwezo mkubwa wa focus on jambo hadi uone matumizi katika namna ya ziada iliyo ya kawaida... Nina computer 5 Kila mmoja Ina kazi maalumu na spec tofauti.. Unaijua ALFA wewee 😅😅
View attachment 3524017
Mpe hi kijana wa ma jobless Intelligent businessman