drmaxmhozya
Member
- Aug 7, 2020
- 51
- 48
- Thread starter
- #41
Maisha popote brotherUngekuwa unaishi huku moshi hata kesho ungepata hiyo nyumba
Kunae nyumba mingi sana huku zinahtaji watu wa kuishi for free
Utakukuwa unalipia tu umeme maji ni bure
Maisha popote brotherUngekuwa unaishi huku moshi hata kesho ungepata hiyo nyumba
Kunae nyumba mingi sana huku zinahtaji watu wa kuishi for free
Utakukuwa unalipia tu umeme maji ni bure
Ndio maisha ni popote,huku ni vijijini lakini then nkifahamu jinsia yako,marital status etc itakuwa vizur coz wanapenda mtu mwenye familiaMaisha popote brother
Kila la heri mkuu kwenye huu upambanaji
Ila tbh hii ni English mbovu zaidi kuwahi kuandikwa humu jf..ongeza bidii mkuu
English yoyote ambayo nitaielewa siiti mbovu labda kama angekuwa muingereza ndio kaandika, wazungu wakijaribu kuongea kiswahili na ukawaelewa unawasifia kweli.Kila la heri mkuu kwenye huu upambanaji
Ila tbh hii ni English mbovu zaidi kuwahi kuandikwa humu jf..ongeza bidii mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] asanten ila nimeandika kingereza Cha kueleweka kabisa chenye mtiririko wa tense ili kila mmoja aelewe Sasa ona wewe hapo luga ya watu hii usitumie nguvu utaumbukaAssist him to edit his post so that it becomes coherent,rather than rebuke him
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] au siyo kwa hilo bado Sana huna uwezo huo Mimi natumia luga rahisi ndo Mana nimeelewekaKila la heri mkuu kwenye huu upambanaji
Ila tbh hii ni English mbovu zaidi kuwahi kuandikwa humu jf..ongeza bidii mkuu
Punguza mbwembwe basi na kujifanya mjuvi wakati unaomba msaada,maana huyo uliyemnukuu amejaribu kukusaidia kwa kumuuelewesha aliyeponda ulichoandika kwa kiingereza,akusaidie kuhariri chapisho lako kwa kiingereza sanifu badala ya kukukejeli.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] asanten ila nimeandika kingereza Cha kueleweka kabisa chenye mtiririko wa tense ili kila mmoja aelewe Sasa ona wewe hapo luga ya watu hii usitumie nguvu utaumbuka
Mkuu akijibu swala la family nistue..! nna nyumba mbili moja mombasa na ingine kule Pemba..kila kitu free..maji,umeme,chakula na huduma zengine ntampatia bure kabisa,yy tu achague wapi patamfaa kuishi.ahsanteNdio maisha ni popote,huku ni vijijini lakini then nkifahamu jinsia yako,marital status etc itakuwa vizur coz wanapenda mtu mwenye familia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kulikuwa na uzi humu watu wanaachiwa nyumba wazilinde baadae wanamloga mwenye nyumba aisahau nyumba yake, unaongeleaje hili!?[emoji38]
Kila la heri mkuu kwenye huu upambanaji
Ila tbh hii ni English mbovu zaidi kuwahi kuandikwa humu jf..ongeza bidii mkuu
Nipo dsmUpo mkoa gani?