Nahitaji nyumba ya kuishi niwe kama msimamizi

Nahitaji nyumba ya kuishi niwe kama msimamizi

Mtoa mada Kuna maswali unayakwepa na yanaleta ukakasi Kwenye ili hitaji lako.

1. Una familia (yaani mke na watoto)?
-
2. Una wazazi?
- Kama wapo kwanini usiishi kwenu?
-kama Ni yatima kwanini, usiishi kwny nyumba walioacha marehemu?

3.Una ndugu wa ukoo au familia ulikozaliwa?
-Unaogomvi na ndugu wote wa ukoo wenu?
-kama mambo Ni shwari, kwanini usianzie uko ili hitaji lako kwanza.?

4. Kwanini usiishi kwa ndugu zako au wazazi wako ukiendelea kujipanga?

5. Kwanini unaona Ni Bora zaidi kuishi kweny nyumba ya bure kuliko kupanga chumba Cha Bei rahisi ukaendelee na mipango yako?

6. Umetafakari kua unaweza kabidhiwa nyumba, Na Bado ikakushinda kuitunza.
gharama za kuitunza ile nyumba ikawa Ni Bora tu ungepanga chumba?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umemchapa za uso asee! Cjui kama atajibu.
 
Akili hukua zaidi na kufanya kazi zaidi pale majukumu yanapoongezeka. Kama pesa ya kodi ipo hebu chakarika mkuu, tafuta chumba panga endelea kuchakarika. Hata hapo nyumbani kwenu hama kabisa.
 
Back
Top Bottom