drmaxmhozya
Member
- Aug 7, 2020
- 51
- 48
- Thread starter
- #21
Kabisa yan mr purpose wewe ndiyo umenielewa vizuri hasa zaidi ya Mimi muhusika hakika uko sawa kabisa kabisa Mimi ni kijana nimeshamaliza masomo yangu ila nahitaji kuendelea masomo tena wakati huo Mimi ni mpambanaji na biashara yangu japo bado haijasimama vizuri kabisa ila na matumaini itakaa vizuri lengo kubwa Sana la kutoka nyumbani kutafuta nyumba kwanza kabisa nahitaji Uhuru wa kujitosha ili niweze kujipanga zaidi yaani nahitaji msaada.Post #12 imebeba matokeo ya hicho unachotaka kufanya.
Tukiacha yote, kumbuka jambo lako siyo dogo, yaani mtu kukukabidhi nyumba, inaonekana kuna sababu kweli ya msingi ya wewe kuhitaji nyumba ila ungeweka sababu hasa kwanini unahitaji nyumba kuwa kama muangalizi badala ya wewe kwenda kupanga maswali yangepungua na uaminifu ungekuwepo...
Mimi ni muhitaji nahitaji nyumba ya kuishi kama wenye nyumba labda wako mbali na maeneo yao lakini nyumba ile haina muangalizi Mimi nipo tayari kuangalia nyumba ile kwa uaminifu wote Mimi pia na hofu ya mungu pia katika uaminifu wangu atakaouona mwenye nyumba ndo itakuwa mwanzo wa kuwa karibu na kutengeneza udugu wa kudumu kwahiyo nahijtaji msaada ili nijipange zaidi uaminifu wangu ndo utaniletea matunda hekima busara ndo kila kitu unaweza kuwa na uwezo wa kulipa kodi lakin mwenye nyumba.
Akakufukuza kwa kutokuwa na hekima na busara nahitaji msaada Mimi ni mtanzania ni mzima msomi mweledi na ndoto zangu japo lazima walionitangulia kimaisha niwaombe na wasikie ombi langu
Asanteni