Nahitaji nyimbo za singeli

Mkuu vigodoro mwisho saa sita siku hizi, acha wapige mchana tu. Halafu heshimu chaguzi za watu.

 
Mimi hapa nipo njiani narafuta kigodoro nikacheze singeli.. sasa naposikia sauti ya singeli kila nikienda sauti inasikika nilipotoka hapa nimeamua kucheza singeli hapahapa nilipo
 
Mkuu vigodoro mwisho saa sita siku hizi, acha wapige mchana tu. Halafu heshimu chaguzi za watu.

If you can't understand what am saying go read about it...!.
 
Teh teh..Sijawahi kuzisikiliza Douta..Nasikia tu watu wakiziongelea
Mwenzio nilibahatisha kukuta watoto wanacheza kitaa fulani. Ilibidi nitafute tu pozi la kusimama kwa muda. Nikijaribu zile styles mtanikuta MOI
 
Acha zarau ww kwaiyo ww unajiona mkubwa sana co iyo burudani tuu kama burudani nyingne wa uswazi wanazielewa izo nyimbo.......ww kama uzipendi kausha
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…