Toloka uje nasema toloka uje
Hehe...kuna kipindi hawa mbwa mwitu walikuwa wanakuja kwa kasi basi ikabidi polisi wawe wanaenda kwenye vigodoro kuimalisha ulinzi,sasa siku niliyocheka ni pale ilipopigwa nyimbo yao ile wanasema "mida ya kazi"...polisi wakazuia mziki maana ikifika hapo hiyo nyimbo basi wahuni huanza kutoa kweli sime waanze kazi.
Aah wapi wewe wa kishua, juzi nilikuona na Vanguard Mbezi beach, ole uje kwetu Mwananyamala komakoma tunakunyonyoa manyoya, ndo utajua kisingeli ishu gani
Mwenye singeli nzuri aambayo hit
Nielewe wapi......
Najaribu kufikiria singelini nini? Au anamaanisha single????
Lile singeli la pale jangwani siku ya ufunguzi lilikuwa balaa....sikulisifia kwa kuwa nilikuwa kikampeni zaidi.
hebu weka hizo singeli zako kwenye waptrick na mitandao mengine tudownload.
by the way unawakilisha na kuwasilisha vizuri lakini nikushauri potezea kidogo manyimbo ya siasa....rudi kwenye biashara utatoka.
sasa km hujui kitu usiwe unaropoka ropoka....
Toloka uje nasema toloka uje
sasa km hujui kitu usiwe unaropoka ropoka....
twende tukabeta masela mida ya kubeti!!!!
Asante sana KIOO kwa kunielewesha.........japo sina kumbukumbu ......kama niliwahi kusikia singeli........pls mkuu MO11 nenda na sisi polepole.........kama alivyosema BADILI TABIA.......inawezekana kweli uzee unatunyemelea.........sasa linapokuja swala la singeli.......inatuwia vigumu sana..........
Hapa aliyeropoka ni wewe, sijui umekula maharage ya wapi
Anyway
Hongera kwa coment