Titty
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 571
- 912
Kweli ndo walionipa huu ugwonjwa wa kuwa addicted na novel alaf wote wanachuna. Ulisoma yipi katika hizo au nyingine yipi kuna blood line, the secret. Her loyal highness. To mention a fewUmetaja hao authors nimesisimka kama nimeonyeshwa ukwaju.... U know wara am seing.... I can sacrifice my sleep for these authors. Shule nlikua niko radhi nimnunulie mtu mandazi just so I can read after them novel za hao watu