Nahitaji mwenza wa kuoa Morogoro

Dah 39 na unahitaji 25 mpaka 33 bora 33 mpaka 35 , maana 25 humpati mtu wa 25 ukaweza kumudu kwa mechi lazima unywe viagra plus ndio umuweze mana yeye ni fire .
Sijui lakini
Aah,,, jamani,,, si kweli. Afya yangu ni njema sana. Kama yupo wewe mshtue
 
Duh, jamaa yangu hatuchekani kwa kweli maana 39 imeenda sana ni kama mimi tu nilivyochoropoka. Mayatima tulipitia wakati mgumu sana. Mimi nilifanikiwa kwenye 37, lakini changamoto kubwa ni u mdomo zege nao unachangia sana! Sasa 39 yote hiyo mwenzangu ulikuwa wapi? Kazana mkuu utaachwa na SGR na hapo ulipofikia unaenda kuamua yeyote atakayekuja mbele yangu na mwisho wa siku unaenda kuambulia koroma.
 
We ndo nikupe mpwa wangu bule kabisa unipunguzie matatiza apa nyumbani....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…