😂😂😂😂😂😂😂Habari wakuu? Umri unakwenda sana. 39 yrs now. Dada ambae unapatikana hapa morogoro au mkoa wowote lakini una uhitaji wa kuoelewa mwezi ujao, naomba tuwasiliane inbox. Binti mzuri, uwe mkristo. Umri 25-33. Urefu wastani. Hatuna pesa mama ndo tunaanza kutafuta. Karibuni sana wahitaji.
Evelyn Salt,,,tabia mbaya sitaki😂😂😂😂😂😂😂
😀😀😀Umenyooka sana mabinti wasogee, ungepeleka tangazo na huko Facebook kabisa😀😀
zingatia ndo naanza kutafuta na mimi nataka aje awe mweusi mfupi sana ila nyuma pawikeHabari wakuu? Umri unakwenda sana. 39 yrs now. Dada ambae unapatikana hapa morogoro au mkoa wowote lakini una uhitaji wa kuoelewa mwezi ujao, naomba tuwasiliane inbox. Binti mzuri, uwe mkristo. Umri 25-33. Urefu wastani. Hatuna pesa mama ndo tunaanza kutafuta. Karibuni sana wahitaji.
😀😀😀zibgatia nfo tunaanza kutafuta na mimi nataka aje awe mweusi mfupi sana ila nyuma pawike
Wanakuja bila shaka.Millennials wana shida gani week hii? nyuzi za namna hii zinawahusu wao tu wanafeli wapi hawa raia
Day after day,,,
Kwanini Ndugu Spear?sasa hivi Jf sio Home of Great Thinker tena.....ni "Home of great sinker"
Wewe unajitoa kwenye hilo kundi?Wanakuja bila shaka.
Ulimaanisha wote ne Me? Nipo boss.Wewe unajitoa kwenye hilo kundi?
hebu acha kutujazia server bana, umesikia hili ni jukwaa la kutafuta mke?Kwanini Ndugu Spear?
ilidhani unazungumzia ke mkuuUmri wako uloweka upo kwenye hilo group au ulimaanisha nini kusema wanakuja?