Nahitaji. Mwenye kuuza laini ya chuo za halotel

Nahitaji. Mwenye kuuza laini ya chuo za halotel

Dr Rutagwerera Sr

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
5,812
Reaction score
11,501
Wandugu kama tangazo linavyosomeka. Nahitaji laini kama yupo mwenye nazo au ziada aniuzie. Nimehangaika naambiwa kwa sasa hazipo tena kwa mawakala. Mwenye nayo ani-pm au anipe namba kwa kucomment. Shukria!
 
nenda ofisi za halotel china plaza kama uko dar utapata kwa 20,000/=
 
Pritty wa joseph hebu fanya basi maujanja secure.one for me then nakulipa hela yako.
 
Back
Top Bottom