Nahitaji mwanaume wa kula ne bata tu!!!!!!

he he he kula ngamia hii mpya

wee upo dunia gani?...watu walianza kujichana, wakaja kujiachia, wakaja kujirusha, wakacha kula kuku, wakaja kula bata, sahivi wanakula ngamia na machura ile kichina.....karibu mamaa tule ngamia.
 
he he he you have made my day sp
 
we mlimbwende umepata wakula nae bata? Kama bado nitafute leo na kesho mana tuna kalikizo ka ujio wa obama. Nitafute mwaya tukale bata, ngamia, mdudu na kila kitu achana na hao wanaoponda.
 
we mlimbwende umepata wakula nae bata? Kama bado nitafute leo na kesho mana tuna kalikizo ka ujio wa obama. Nitafute mwaya tukale bata, ngamia, mdudu na kila kitu achana na hao wanaoponda.

Nimepata kampani ila hakuna shida u can join us A town hapa
 
hili jukwaa siku hizi limevamiwa ukisoma thread kati ya nne tatu zinahamasisha dushele kusimama, mtuhurmie wengine
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…