Nahitaji mwanaume wa kula ne bata tu!!!!!!

Le' baby

Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
69
Reaction score
8
Nahitaji mwanaume wa kula nae bata za dunia, sihitaji commitment mapenzi yashanichosha, nishaumia sana. naomba kueleweka sihitaji mvulana ila mwanaume....walio serious tu tuwasiliane.
Umri wangu ni miaka 24, mjasiriamali.
Ahsanteni.
 
kua uyaone.. sio magorofa tu. Kuna na mengine.

haya wala BATA mkuje huku.
 
Nahitaji mwanaume wa kula nae bata za dunia, sihitaji commitment mapenzi yashanichosha, nishaumia sana. naomba kueleweka sihitaji mvulana ila mwanaume....walio serious tu tuwasiliane.
Umri wangu ni miaka 24, mjasiriamali.
Ahsanteni.
Umri wa 24 umechoshwa kivipi na Mapenzi?
Umri huo umeumizwa vipi?...Mke wangu anakaribia forties bado hajachoshwa na mapenzi!..my hairs!

Nahitaji mwanaume wa kula nae bata za dunia, sihitaji commitment mapenzi yashanichosha, nishaumia sana. naomba kueleweka sihitaji mvulana ila mwanaume....walio serious tu tuwasiliane.
Umri wangu ni miaka 24, mjasiriamali.
Ahsanteni.

Chagua jibu sahihi: Gharama za hizo bata,
(i). Unalipa wewe
(ii). Analipa huyo mwanaume
(iii). Mnachangia pasu kwa pasu
 
Duuuu salaaaleee kwahio ww unataka mtu akakusafishe nyota then akipe... 24yrs umeshachoshwa na mapenzi daaa pole kwahio uliaza kusafishwa nyota ukiwa na miaka 8?
 
Chagua jibu sahihi: Gharama za hizo bata,
(i). Unalipa wewe
(ii). Analipa huyo mwanaume
(iii). Mnachangia pasu kwa pasu

umemaliza kila kitu mkuu. hahahahaaa
 
Nahitaji mwanaume wa kula nae bata za dunia, sihitaji commitment mapenzi yashanichosha, nishaumia sana. naomba kueleweka sihitaji mvulana ila mwanaume....walio serious tu tuwasiliane.
Umri wangu ni miaka 24, mjasiriamali.
Ahsanteni.

Mzabzabu weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, weeeee Mzabzabu mambo iko hukuuuuuu, wahi na Fasiti jeti, nauli nitakulipia, weraaaaaa
 
Nahitaji mwanaume wa kula nae bata za dunia, sihitaji commitment mapenzi yashanichosha, nishaumia sana. naomba kueleweka sihitaji mvulana ila mwanaume....walio serious tu tuwasiliane.
Umri wangu ni miaka 24, mjasiriamali.
Ahsanteni.

Na majanga ya dunia mtakula wote? au ni bata tu.
We mwenyewe unasound bado ni msichana. Tafuta mvulana ndo anakufaa, sio mwanaume!
unahitaji wangapi walio serious?
 
...anayekula kuku wa kuchinjwa na mkristo je teh tehh...
 
aliesema jamvi limeingiliwa na fb hajakosea ____ modes mko wapi mnashindwa kufikiri nyuzi za kudisplay ubaoni jamani mnawaruhusu hawa fb watoe uhalisia wa jf
 
24 years umechoka? We utakuwa kiboko wanaume wa humu ndani utawaua bureeeeeee bila hatia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom