leodigardcyrilo JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 3,441 Reaction score 1,853 Sep 14, 2018 #41 Pole utawapata
Mine eyes JF-Expert Member Joined Apr 11, 2016 Posts 6,583 Reaction score 7,237 Sep 14, 2018 #42 Mimi nanyamaza.
Tanayzer JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 3,005 Reaction score 7,405 Sep 14, 2018 #43 Simple tu 1....inabidi ujue kilichomfanya ajichukie au asipende kuwa na watu ili uweze kuavoid vitu hivo uwapo karibu yake... 2...usioneshe kumsikitikia au kumuonea huruma maana ataona unataka kuwa nae karibu umsanifu au hauna nia ya kweli. 3. Tafuta kujua anapenda nini ili uwezo kumletea au kufanya mbele yake...hii itasaidia kuvuta attention yake na kukuangalia positive way.... 4... Ongea maneno ya hekima na umaanishe mkuu katika kugusia hicho kitu. 5 To a mfano hai inayokaribiana na halo ya huyo mtu hii itafanya kuvutika kwa kujua yeye ni mhanga kama wew 6...kuwa mcheshi,penda kusikiliza pia onesha kuwa tayari kutoa msaada itamfanya awe karibu nawe.....
Simple tu 1....inabidi ujue kilichomfanya ajichukie au asipende kuwa na watu ili uweze kuavoid vitu hivo uwapo karibu yake... 2...usioneshe kumsikitikia au kumuonea huruma maana ataona unataka kuwa nae karibu umsanifu au hauna nia ya kweli. 3. Tafuta kujua anapenda nini ili uwezo kumletea au kufanya mbele yake...hii itasaidia kuvuta attention yake na kukuangalia positive way.... 4... Ongea maneno ya hekima na umaanishe mkuu katika kugusia hicho kitu. 5 To a mfano hai inayokaribiana na halo ya huyo mtu hii itafanya kuvutika kwa kujua yeye ni mhanga kama wew 6...kuwa mcheshi,penda kusikiliza pia onesha kuwa tayari kutoa msaada itamfanya awe karibu nawe.....
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,116 Reaction score 5,370 Sep 14, 2018 #44 Me too said: asante mkuu nimemta boss wake wa zaman ajaribu kuongea nae jumapil hii Click to expand... Kila la kheri kwake
Me too said: asante mkuu nimemta boss wake wa zaman ajaribu kuongea nae jumapil hii Click to expand... Kila la kheri kwake