Gustavo Gaviria
JF-Expert Member
- Nov 19, 2018
- 633
- 1,119
Unataka mtu real?umzalishe umharibie maisha yake?Sio kung'ang'ania ndio ukweli halisi, sitaki.kuingia kwenye majukumu yasionihusu, majukumu ya kua karibu na mama na mtoto throughout miezi tisa ya kunibebea mtoto wangu nitayachkua, wewe kunibebea mtoto haimanishi kwamba usijishuhulishe ..au kama labda ulikua unatafuta opportunity ya kutoka kimaisha kupitia kwangu..nataka mtu real


