Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,524
- 5,783
awapi mitoto ya siku hizi inaakili ikijua kuwa wewe sio baba yake inakumbia tu kuwa wewe sio baba yangu na ushahidi wanao tena wanadai walimsikia mama akimwambia mwenzake kuwa wamekubambikia.ukifanya hivyo jiandae kubambikiwa mtoto
![]()
Sawa.cute b naomba unizalie mtoto
awapi mitoto ya siku hizi inaakili ikijua kuwa wewe sio baba yake inakumbia tu kuwa wewe sio baba yangu na ushahidi wanao tena wanadai walimsikia mama akimwambia mwenzake kuwa wamekubambikia.
hata hivyo kuwa baba mlezi sio mbaya kama kuna uhakika wa usalama!




Kuelewa nimeelewa ila kwa mbali siunajua elimu bure! ndio itakua imeniponzaDah elimu ya kitanzania bwana shida tupu, a small paragraph hujaelewa bado....Unamanisha nini ukisema kulelewa labda embu fafanua kwa mapana nikuelewe na wengine waelewe
Sawa.
EeeeeeeehSawa.
Me nilijua unataka mwanamke akuzalie unamlipa Akishaza mnakabidhiana mtoto yeye anaendelea na maisha yake. Kama kimkadarshian alivyofanya.Habari zenu wapendwa
Naomna niende moja kwa moja kwenye point yangu kwa ufupi sana, nahitaji mwanamke ambaye atanizalia mtoto, ningependelea mwanamke huyo awe mwanamke anayejielewa(matured,)anayejitegema namanisha anafanya kazi au biashara, kifupi anayejishuhulisha, zaidi mwenye upendo.
Sitapenda ambaye ameolewa au mwenye serious relationship. Ntapendelea zaidi mwanamke ambaye hajawahi kua na mtoto au ana mtoto lakini anatamani mwingine.
Nitajitolea kwa hali na mali kumlea mtoto na kumpa malezi bora na upendo kama baba. Zingatio liwe hili kwamba utakaponizalia haimanishi kwamba tutafunga ndoa, i dont believe in marriages. Mtoto kwa badae ntabaki naye ila sio kwamba sintokuruhusu umuone, tutapanga utaratibu mzuri tu wa kuonana naye.
PM iko wazi kwa mwanamke yeyoye atakayeridhia ombi langu.
Seriously?????Asante ln unaingia kweny cku zako?
Sasa kama shida yako ni kuzaliwa mtoto masharti ya nini? Hata akiwa single mother wewe shida yako si ni mtoto?
Wenzako wanasemaga "nataka mtu anizalie mtoto , nitampa USD Kadhaa anizalie mtoto tuu". Haujui kuna watu hiyo ni biashara yao?
Au wewe labda useme unataka mpenzi atakayekubali kukuzalia ila hamtafunga ndoa, na awe na kazi maana wewe hauna hela![]()







Mana neno kulelewa lina maana pana sana sasa nataka uelewa wako katika hilo neno nione nakusaidia vipi kukuelewesha kwa jinsi ambavyo.umeelewa wewe.
Ha ha ha ha kama vile ulikuwa unasubiria nimjibu.Eeeeeeeeh
Seriously?????
Hapana hio kwangu mimi sio biashara ..naweza kufanya hivyo lakini hapana..hakuna kiwango cha fedha chaweza mnunua mtoto.Me nilijua unataka mwanamke akuzalie unamlipa Akishaza mnakabidhiana mtoto yeye anaendelea na maisha yake. Kama kimkadarshian alivyofanya.
Woi.
Hahahaha....yan hadi nilisabskraibu uziHa ha ha ha kama vile ulikuwa unasubiria nimjibu.



Hahahahahahaah. Nitafanyaje sasa mtu anataka nimzalie huku jf.Hahahaha....yan hadi nilisakrisaibu uzi![]()
.