Nahitaji mwanamke wa kunizalia mtoto

Nahitaji mwanamke wa kunizalia mtoto

Status
Not open for further replies.
Kwa sisi wajanja tumeshagundua unatafuta mwanamke wa kukulea...
Sihitaji mwanamke wa kunilea..soma habari juu utaelewa kama.una akili na una uwezo.wa kupembua mambo
Nimesema nitamtunza mama na mtoto au unaelewa nini mtu akisema matunzo ya mama na mtoto ..ila sihitaji golikipa magolikipa waende yanga huko wanahitaji golikpa
 
Sasa kama utamtunza mama na mtoto, kwanini ung'ang'ane kwamba NI LAZIMA awe na kipato???

Mimi ni mjinga na sina akili kama ulivyosema. Nadhani utakuwa umefurahi kulijua hilo
 
hii ni ngumu kama mim siwez nizae alafu mtoto abaki na baba ni mtihani
Sio kwamba hutomuona kabisa..ndio.mana nimesema pm iko wazi kwa maongezi ya faragha ...hapa wanaokuja kukoment wanajifurahisha tu ..kama mtu yupo serious ingekua mimi ningekufata tu inbox
 
Mali ikienda kwa mganga hairudi.
Kumbuka single maza wanavyopigwa vita kama vile ni ukilema.
Leo nikuzalie usinioe, nitaolewa na nani? .
ngoja nitafute hela nikutege nauhakika hutafika hata kwenye ujenzi wa nyumba nitaishia tu kukulipia chumba na sebule
 
Sasa kama utamtunza mama na mtoto, kwanini ung'ang'ane kwamba NI LAZIMA awe na kipato???

Mimi ni mjinga na sina akili kama ulivyosema. Nadhani utakuwa umefurahi kulijua hilo
Sio kung'ang'ania ndio ukweli halisi, sitaki.kuingia kwenye majukumu yasionihusu, majukumu ya kua karibu na mama na mtoto throughout miezi tisa ya kunibebea mtoto wangu nitayachkua, wewe kunibebea mtoto haimanishi kwamba usijishuhulishe ..au kama labda ulikua unatafuta opportunity ya kutoka kimaisha kupitia kwangu..nataka mtu real
 
Kila la kheri...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom