Nahitaji mwanamke wa kunizalia mtoto

Nahitaji mwanamke wa kunizalia mtoto

Status
Not open for further replies.
Habari zenu wapendwa

Naomna niende moja kwa moja kwenye point yangu kwa ufupi sana, nahitaji mwanamke ambaye atanizalia mtoto, ningependelea mwanamke huyo awe mwanamke anayejielewa(matured,)anayejitegema namanisha anafanya kazi au biashara, kifupi anayejishuhulisha, zaidi mwenye upendo.

Sitapenda ambaye ameolewa au mwenye serious relationship. Ntapendelea zaidi mwanamke ambaye hajawahi kua na mtoto au ana mtoto lakini anatamani mwingine.

Nitajitolea kwa hali na mali kumlea mtoto na kumpa malezi bora na upendo kama baba. Zingatio liwe hili kwamba utakaponizalia haimanishi kwamba tutafunga ndoa, i dont believe in marriages. Mtoto kwa badae ntabaki naye ila sio kwamba sintokuruhusu umuone, tutapanga utaratibu mzuri tu wa kuonana naye.

PM iko wazi kwa mwanamke yeyoye atakayeridhia ombi langu.
Kuna wengine wanatoa zaidi ya mmoja.
 
Usiwasemee mana kila binadamu ana upeo wake wa kufikiri kulingana na makuzo yake, elimu yake na mazingira aliyokulia na namna anavyoyachukulia mambo ..sasa nadhan umenielewa..kwaio jambo linalohitaji kufikria kwa mapana wewe sababu uwezo wako wa kufikir ni mdogo basi utaona ni mambo ya kijinga
mwanamke anayejitegemea hawezi kukubali huo ujinga.
 
Mimi kwa sasa nimempa mimba mwanamke. Ana jitegemea lakini hela ya kula naulizwa mimi.
NANI akulelee kiumbe ulichokiweka tumboni kwake.?
Acha TU. Sikia TU kwa mwenzio. Achana na huo mpango. Labda uowe
Usiwasemee mana kila binadamu ana upeo wake wa kufikiri kulingana na makuzo yake, elimu yake na mazingira aliyokulia na namna anavyoyachukulia mambo ..sasa nadhan umenielewa..kwaio jambo linalohitaji kufikria kwa mapana wewe sababu uwezo wako wa kufikir ni mdogo basi utaona ni mambo ya kijinga
 
Ntabaki naye ..ila sio kwamba hautakua unamuona tutapanga utaratibu mzuri tu ..ndio mana nahitaj a matured woman ili nikiongea kitu kama hiki anaelewa.
Mie itakua sio matured woman manake sijaelewa
 
Habari zenu wapendwa

Naomna niende moja kwa moja kwenye point yangu kwa ufupi sana, nahitaji mwanamke ambaye atanizalia mtoto, ningependelea mwanamke huyo awe mwanamke anayejielewa(matured,)anayejitegema namanisha anafanya kazi au biashara, kifupi anayejishuhulisha, zaidi mwenye upendo.

Sitapenda ambaye ameolewa au mwenye serious relationship. Ntapendelea zaidi mwanamke ambaye hajawahi kua na mtoto au ana mtoto lakini anatamani mwingine.

Nitajitolea kwa hali na mali kumlea mtoto na kumpa malezi bora na upendo kama baba. Zingatio liwe hili kwamba utakaponizalia haimanishi kwamba tutafunga ndoa, i dont believe in marriages. Mtoto kwa badae ntabaki naye ila sio kwamba sintokuruhusu umuone, tutapanga utaratibu mzuri tu wa kuonana naye.

PM iko wazi kwa mwanamke yeyoye atakayeridhia ombi langu.
Kanunue incubator
 
Mimi kwa sasa nimempa mimba mwanamke. Ana jitegemea lakini hela ya kula naulizwa mimi.
NANI akulelee kiumbe ulichokiweka tumboni kwake.?
Acha TU. Sikia TU kwa mwenzio. Achana na huo mpango. Labda uowe
Hio ni sawa tu.. chakula bora mpe ili awe na afya na mtoto awe na afya... hicho sio kitu cha ajabu
 
Hyo nadhan ipo nje kwa wenzetu na mnaandikishana kabsa mkataba na condition zote mnazozihitaj kila mmoja,huku kibongo bongo brother ukisema kabsa huwez kumpata,we kamata demu mmoja tia mimba halaf kataa mimba,then mtoto akizaliwa unaenda kumdai kwa kumlegeza na vijihela kidogo then unachukua toto lako unalea simple kabsa
 
Hahahahaa

Mtoa mada hufai, yaani umtumie mwanamke kwa matakwa yako, kama utakavyo.

Eti awe mwajiriwa anajishughulisha, halafu aje tu umetundike mimba duuh very lazy mind
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom