Nahitaji mwanamke wa kunizalia mtoto

Nahitaji mwanamke wa kunizalia mtoto

Status
Not open for further replies.

Airmanula

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
3,524
Reaction score
5,782
Habari zenu wapendwa

Naomna niende moja kwa moja kwenye point yangu kwa ufupi sana, nahitaji mwanamke ambaye atanizalia mtoto, ningependelea mwanamke huyo awe mwanamke anayejielewa(matured,)anayejitegema namanisha anafanya kazi au biashara, kifupi anayejishuhulisha, zaidi mwenye upendo.

Sitapenda ambaye ameolewa au mwenye serious relationship. Ntapendelea zaidi mwanamke ambaye hajawahi kua na mtoto au ana mtoto lakini anatamani mwingine.

Nitajitolea kwa hali na mali kumlea mtoto na kumpa malezi bora na upendo kama baba. Zingatio liwe hili kwamba utakaponizalia haimanishi kwamba tutafunga ndoa, i dont believe in marriages. Mtoto kwa badae ntabaki naye ila sio kwamba sintokuruhusu umuone, tutapanga utaratibu mzuri tu wa kuonana naye.

PM iko wazi kwa mwanamke yeyoye atakayeridhia ombi langu.

Updates : My mission was successful.
 
Sasa kama shida yako ni kuzaliwa mtoto masharti ya nini? Hata akiwa single mother wewe shida yako si ni mtoto?

Wenzako wanasemaga "nataka mtu anizalie mtoto , nitampa USD Kadhaa anizalie mtoto tuu". Haujui kuna watu hiyo ni biashara yao?

Au wewe labda useme unataka mpenzi atakayekubali kukuzalia ila hamtafunga ndoa, na awe na kazi maana wewe hauna hela
 
Au wewe labda useme unataka mpenzi atakayekubali kukuzalia ila hamtafunga ndoa.
Naomba unizalie mtoto nitakupa Usd 1000
 
Sasa kama shida yako ni kuzaliwa mtoto masharti ya nini? Hata akiwa single mother wewe shida yako si ni mtoto?

Wenzako wanasemaga "nataka mtu anizalie mtoto , nitampa USD Kadhaa anizalie mtoto tuu". Haujui kuna watu hiyo ni biashara yao?

Au wewe labda useme unataka mpenzi atakayekubali kukuzalia ila hamtafunga ndoa, na awe na kazi maana wewe hauna hela

Sababu ya kusema naitaj anayejishuhulisha ni kwamba SITAKI golikipa mimi...whatever the case nimesema hata akiwa single mother na anatamani kuzaa mtoto pia ni sawa tu ....kwa ambao wanafanya kama biashara imekula kwao hapa sio mahala pake waende kwingine..kama anasubiri usd kadhaa aende benki mimi sio benki..i have highlighted above kwamba nitamtunza yeye na mtoto.
 
USD 1,000? Miezi tisa nitembee na kitambi? Hapana.
Nijengee nyumba, ninunulie gari, na unifungulie biashara maana sina kazi. Nitakuzalia mtoto na malezi ya mtoto na mama yatakuwa juu yako.
Mtu unasubiriwa kujengewa nyumba na kununuliwa gari na kufunguliwa biashara ulikua wapi usisome ufanye hayo yote uje utegeshee mtu afanye hivyo kisa tu ameomba umzalie mtoto wanawake wa hivyo siwapendi katu na ndio wenye stress za kupewa nyumba na gari na biashara sitaki mtu mwenye stress
 
Halafu mtoto atabaki na nani badae?
Ntabaki naye ..ila sio kwamba hautakua unamuona tutapanga utaratibu mzuri tu ..ndio mana nahitaj a matured woman ili nikiongea kitu kama hiki anaelewa.
 
Sababu ya kusema naitaj anayejishuhulisha ni kwamba SITAKI golikipa mimi...whatever the case nimesema hata akiwa single mother na anatamani kuzaa mtoto pia ni sawa tu ....kwa ambao wanafanya kama biashara imekula kwao hapa sio mahala pake waende kwingine..kama anasubiri usd kadhaa aende benki mimi sio benki..i have highlighted above kwamba nitamtunza yeye na mtoto.
Kwa sisi wajanja tumeshagundua unatafuta mwanamke wa kukulea...
 
Mtu unasubiriwa kujengewa nyumba na kununuliwa gari na kufunguliwa biashara ulikua wapi usisome ufanye hayo yote uje utegeshee mtu afanye hivyo kisa tu ameomba umzalie mtoto wanawake wa hivyo siwapendi katu na ndio wenye stress za kupewa nyumba na gari na biashara sitaki mtu mwenye stress
Kikubwa naona umepanic. Hiyo post wala haikuhusu.
 
ha..haaa....haa...mbona nyingi kuliko mahali? mtoto akifa unarudisha?
Mkuu wa aina hio siwataki kuwasikia kabisa..mwanamke mwenye njaa zake simtaki ..mwanamke asiye na upendo simtaki, mwanamke gold digger simtaki, wa aina hio ni kama.ananiuzia mtoto ..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom