HHHK
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 817
- 288
ID yako nyingine ni ipi?
au unafanya research
kila la heri
Ana m2 wake ana mtega
Sent from my iPhone using JamiiForums
ID yako nyingine ni ipi?
au unafanya research
kila la heri
Siku zako za kurogwa zimekaribia, hivi umesahau ni jinsia gani wanaongoza kwa kushinda kwa vigagula??
Ana m2 wake ana mtega
Sent from my iPhone using JamiiForums
utayajuaje hayo kabla wakati yeye kasema hataki mchumba antaka mume,so stage ya kwanza mnaonana ya pili unapeleka posa no time kujua tabia
hapo sawa
Bi mkubwa huyo mume anapatikana pasipo kupitia ngazi ya uchumba?
Si inabidi naye ajiridhishe namna nawe ulivyo, au mwenzetu malaika weye?
1.Awe mkristo 2.Awe graduate 3.Awe na umri aidi ya miaka 32 4.Awe tayari kupima afya 5.Awe mfanyabiashara au mwajiriwa 5.Awe mrefu wa futi 6. 6.Awe anajitambua kuwa yeye ni nguzo ya familia na aliye na sifa hizo nipigie kwa 0715418011
toa nawe sifa ulizonazo tupate kujua how much you worth! halafu hujasema akiwa na sifa hizo akutafutaje?
heeee! katika pitapita zako zoote hujakutana na mtu mwenye hizo sifa hadi umtafute jf?
haya kila laheri bibie
Yaa ni kweli ilishahi kutokea kwa gruop flan hivi,baada ya watu kugundua akajitoa
Sent from my iPhone using JamiiForums
1.Awe mkristo 2.Awe graduate 3.Awe na umri aidi ya miaka 32 4.Awe tayari kupima afya 5.Awe mfanyabiashara au mwajiriwa 5.Awe mrefu wa futi 6. 6.Awe anajitambua kuwa yeye ni nguzo ya familia na aliye na sifa hizo nipigie kwa 0715418011
Acha kumkatisha mtu tamaa,mwache aolewe!
hahahaaa!! hii nayo neno ya kuangalia! unaweza kukuta dushe imehamia kichwani!!!!
![]()
1.Awe mkristo 2.Awe graduate 3.Awe na umri aidi ya miaka 32 4.Awe tayari kupima afya 5.Awe mfanyabiashara au mwajiriwa 5.Awe mrefu wa futi 6. 6.Awe anajitambua kuwa yeye ni nguzo ya familia na aliye na sifa hizo nipigie kwa 0715418011
Ni sawa, lakini maisha si shule pekee. Je wewe ni graduate. Kazi yako ni ipi?2.Awe graduate