Nahitaji mume sio mchumba

Nahitaji mume sio mchumba

wewe umeajiriwa au unafanya biashara?
wewe unaweza kulea familia?
wewe ni graduate?
wewe unajitambua?
mimi nahisi wewe utakuwa ni gubegube maana kama una sifa za kuwa mke usingekuwa na haja ya kuja kutafuta mume JF kama kweli una sifa za kuwa mke ,umenistua sana kuweka hadi number zako za simu, lazima huna sifa za kuolewa so upo stressed ndo maana umepata ujasiri wa kuweka hadi number zako ili upate mume.

ushauri wa bure dadaangu ni kuwa tulia, achana na ujinga uliokuwa unaufanya badili tabia apo mtaani kwenu ndipo utaonekana kuwa wewe ni WIFE MATERIAL
NB:WIFE MATERIAL HAWEZI KUJINADI KWA KUWEKA NUMBER YAKE YA SIMU,ILA MAKAHABA HUFANYA IVYO.

pole dada usiyepata mabwana kama nimekukera,kwani huo ndio ukweli kwani SISI WANAUME HATUPENDI WANAWAKE WA DIZAINI YAKO WANAOJITANGAZA WANASHIDA YA NDOA ,humu huwezi kupata bwana wa kukuoa ila wa kukugonga na kusepa utapata PM nyingi sana na picha za uongo. MUOMBE MUNGU ATAKUPA MUME.

1.Awe mkristo 2.Awe graduate 3.Awe na umri aidi ya miaka 32 4.Awe tayari kupima afya 5.Awe mfanyabiashara au mwajiriwa 5.Awe mrefu wa futi 6. 6.Awe anajitambua kuwa yeye ni nguzo ya familia na aliye na sifa hizo nipigie kwa 0715418011
 
Sifa zote ninazo lkn nami ningependa nitest hiyo nani hiiiiii".......... !!! Si unajua yaweza kuwa haiendani na ninayotaka Mimi. Pia toa contacts zako tutafutane. Kununua mbuzi kwenye gunia is not an issue. You know!!?

Hahahahaaaaaa..... Kweli bhana usije jikuta kila siku una kazi ya kukanda ngano....
 
1.Awe mkristo 2.Awe graduate 3.Awe na umri aidi ya miaka 32 4.Awe tayari kupima afya 5.Awe mfanyabiashara au mwajiriwa 5.Awe mrefu wa futi 6. 6.Awe anajitambua kuwa yeye ni nguzo ya familia na aliye na sifa hizo nipigie kwa 0715418011
Anakuwaje mume bila kuwa mchumba? kwenu utamtambulishaje?
 
wewe umeajiriwa au unafanya biashara?
wewe unaweza kulea familia?
wewe ni graduate?
wewe unajitambua?
mimi nahisi wewe utakuwa ni gubegube maana kama una sifa za kuwa mke usingekuwa na haja ya kuja kutafuta mume JF kama kweli una sifa za kuwa mke ,umenistua sana kuweka hadi number zako za simu, lazima huna sifa za kuolewa so upo stressed ndo maana umepata ujasiri wa kuweka hadi number zako ili upate mume.

ushauri wa bure dadaangu ni kuwa tulia, achana na ujinga uliokuwa unaufanya badili tabia apo mtaani kwenu ndipo utaonekana kuwa wewe ni WIFE MATERIAL
NB:WIFE MATERIAL HAWEZI KUJINADI KWA KUWEKA NUMBER YAKE YA SIMU,ILA MAKAHABA HUFANYA IVYO.

pole dada usiyepata mabwana kama nimekukera,kwani huo ndio ukweli kwani SISI WANAUME HATUPENDI WANAWAKE WA DIZAINI YAKO WANAOJITANGAZA WANASHIDA YA NDOA ,humu huwezi kupata bwana wa kukuoa ila wa kukugonga na kusepa utapata PM nyingi sana na picha za uongo. MUOMBE MUNGU ATAKUPA MUME.
Maswali ya msingi sana hayo huyu anatangaza biashara ndiyo maana kaweka mawasiliano
 
1.Awe mkristo 2.Awe graduate 3.Awe na umri aidi ya miaka 32 4.Awe tayari kupima afya 5.Awe mfanyabiashara au mwajiriwa 5.Awe mrefu wa futi 6. 6.Awe anajitambua kuwa yeye ni nguzo ya familia na aliye na sifa hizo nipigie kwa 0715418011
Loading...............
 
mwizi huyu, kwanza mbibi, ukiona hivyo ujue kwa uzuzu wake alio kula nao ujana wake walimzidi ujanja sasa anatafuta pa kufia, kaa chonjo vijana so dangerous!
 
waume tumekua adimu siku hizi eeh?kuna rafiki yangu mdada mzuri sana tu,katafuta mchumba hadi kachoka,kila anaempata analamba af anakimbia,kuna kipindi alinikomalia nimuoe nkachomoa.
 
We malaya bado unaendelea kuibia watu, huyu binti mwizi kishenzi afu cha pombe anakunywa viroba mpaka unashangaaa, kaaeni chonjo ni kibaka sure!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom