Nahitaji mume sio mchumba

Nahitaji mume sio mchumba

duu we nouma;9166008]Hahahahaaaaaa..... Kweli bhana usije jikuta kila siku una kazi ya kukanda ngano....[/QUOTE]
 
jaman wana jf,mambo vp?nipo natafuta mchumba mwembamba wastani,rang yoyote,kabila lolote,awe na miaka chni ya 24,anaejitambua,asiwe mlevi wala malaya,mimi ni mrf wastani,mwembamba,mtanashati ,na nina sifa nyingine nyingi,atazijua atakaekuwa tayali kuwa na mimi,kwa mdada yeyote alie tayali kuwa nami anitumie namba yake kwenye reply,au areply kwa kunipa namba yake
 
Mala awe hivi,mala graduates ... weka specification zako ukianza na umri,status,... na vinginevyo then from there a maching point can start. Na ktk list yako ongeza awe na alteeza.audi,verosa,...
 
Ngoja ni save namba then ntakutafuta ila kwenye umri punguza kdogo au tutaongea haina shida
 
1.Awe mkristo 2.Awe graduate 3.Awe na umri aidi ya miaka 32 4.Awe tayari kupima afya 5.Awe mfanyabiashara au mwajiriwa 5.Awe mrefu wa futi 6. 6.Awe anajitambua kuwa yeye ni nguzo ya familia na aliye na sifa hizo nipigie kwa 0715418011

Toa sifa zako na ww. i.e una umri gani, occupation, unaishi wapi/mkoa gan etc.
 
sawa nicheki 0757796706 tutaongea usizid miaka 25 na usipungue umri wa miaka 22
 
jaman wana jf,mambo vp?nipo natafuta mchumba mwembamba wastani,rang yoyote,kabila lolote,awe na miaka chni ya 24,anaejitambua,asiwe mlevi wala malaya,mimi ni mrf wastani,mwembamba,mtanashati ,na nina sifa nyingine nyingi,atazijua atakaekuwa tayali kuwa na mimi,kwa mdada yeyote alie tayali kuwa nami anitumie namba yake kwenye reply,au areply kwa kunipa namba yake

Ni pm

from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom