Nahitaji mume sio mchumba

Nahitaji mume sio mchumba

Hata wenzio walikuwa na vigezo hivyohivyo hasa no. 2,5 na 6 age ilipokuwa below 24,hawakuona ukitu,ilipofika above 30 wakapunguza vigezo mara ooh yeyote tu muhimu awe na upendo nako hawakuambulia,mwishowe wakasema hata zee tu likitokea linioe,halikutokea mwishowe wameishia nyumba ndogo,na kupigwa mimba.Utasubiri sana kwa vigezo hivyo labda umuombe Mungu tu akusaidie akupe mme anaye kufaa.

Ilifikia kidogo nidondoke sabab ya kucheka na hii post yako! Haa, jamani watu mnavunja mioyo ya watu hata jua bado halijazama? Ha ha ha ha haaaaa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
wenye sifa zote hizo wana wenyewe! punguza kidogo vigezo mdogo wangu! nakushauri kigezo namba mbili na namba tano ondoa! ndoa sio elimu,kuna wanawake wameolewa na ma professa lakini ndoa zao ni jehanamu!na saa nyingine mwanamke graduate anaolewa na mwanaume mwenye elimu ya wastani na wana ndoa tamu tu!
 
Aisee hua mnafikiria nini kutafuta wachumba mitandaonii,hua mnanishangazaa!!!tena hayaa banaa

Nadhani kuna wanao wapata hao waitwao wachumba maana kila kukicha matangazo ya namna hii yanaenda hewani, dunia kijiji huenda wanapeana feedback huko mtaani ni kwa jinsi gani wamefanikiwa (ushuhuda) via JF love connect.

Otherwise tukimaliza kuwashangaa pia tuwatakie kheri, ingawa in reality ni ngumu sana
 
Hivi vigezo havipishani sana na vya mganga wa kienyeji eti usigeuke nyuma je ukikutana na simba utaacha utaacha kugeuza utoke nduki?
 
Msimsanifu jamani hali mbaya kwa wadada sikuhizi hamjui tu, mimi nina rafiki zangu walishatafuta waume kwa njia zooote mwisho wametulia wamebaki kusubili neema ya Mungu
 
Usijidanganje kuku alianzia kuitwa kifaranga. Kila hatua ina mwanzo. Mume lina mwanzo wake kabla .unadhani mume au mke ni kwenda kufunga ndoa tu ,basi nenda kapande mpunga baharini,napo kuna ardhi utaota tu
 
Mfano hai znz inaidadi kubwa ya akina mama wakioachwa na waume zao,wao walikuwa kama wewe ,nataka mume
 
Punguza vigezo mama...yaani hapo wewe unataka READY MADE, utasubiri sana
 
Umri wako wewe je??
Urefu wako??
Kazi yako??
Unaishi wapi??

Naona ndoa zina vigezo kama tunaomba kazi...
 
1.Awe mkristo 2.Awe graduate 3.Awe na umri aidi ya miaka 32 4.Awe tayari kupima afya 5.Awe mfanyabiashara au mwajiriwa 5.Awe mrefu wa futi 6. 6.Awe anajitambua kuwa yeye ni nguzo ya familia na aliye na sifa hizo nipigie kwa 0715418011

Kwahyo kujitambua ndo kua na hvyo vigezo?
Hzo futi 6 zinakusaidia nn mama yangu?
Zinaleta chakula ya watoto?
Zinaleta mipango ya maendeleo?
Au heshima?
One thing I learnt hua mnajimaliza wenyewe
Semw unahtaj mume bora anayeelewa majukumu take sawa ila huwez kupata both sides
Mara mzuri sijui mtanashati sijui guud looking,sijui ana six packs at the end of the day inakusaidia nn?
U guys have to choose hiwez pata both sides
 
Hata wenzio walikuwa na vigezo hivyohivyo hasa no. 2,5 na 6 age ilipokuwa below 24,hawakuona ukitu,ilipofika above 30 wakapunguza vigezo mara ooh yeyote tu muhimu awe na upendo nako hawakuambulia,mwishowe wakasema hata zee tu likitokea linioe,halikutokea mwishowe wameishia nyumba ndogo,na kupigwa mimba.Utasubiri sana kwa vigezo hivyo labda umuombe Mungu tu akusaidie akupe mme anaye kufaa.

Hehehehehhe yaan umefikiria sana aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom