NAHITAJI MUME HIV POSITIVE

Akisema tu mimi ni msichana hakuna kitu kitaharibika,sisi siyo wazungu aisee aiweke Kiswahili wengine wakiona hapo juu wanadhani ni kijana mchicha mwiba anataka kuleta balaa.
lugha ujue ni ngumu hata sisi wenyewe mda mwingi tunadandia tu.
 
Tafuta tiba. Unahitaji mwenza mwenye Afya.. hakuna ugonjwa usio na tiba
 
New members kama kawaida yenu kwenye ubora 🔥🔥🔥
 
acha kunitafutia ban ila kama hukusoma ile kamusi ya kiswahili na english shauri yako acha tumalizie mpira wewe endelea kukesha na kijana
 
Akili zenu bana Lumumba kweli pumba mukichwa, Kijana si jinsia, bali ni hadhi ya umri. Mtu anaweza kuwa kijana wa kiume au kijana wa kike; punguza ujuaji kwa mambo usiyoyajua.

Elimu elimu elimu

Heri umewafahamisha neno kijana sio mwanaume tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…