Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,041
- 13,473
Kichwa cha habari cha husika. Nahitaji tisheti 3,moja nyeusi,nyingine rangi ya chai ya maziwa na nyingne nyeupe. Moja iwe na picha ya zitto kabwe, nyingne picha yangu nikiwa nimevaa ile kofia ya kuhitimu yenye maneno ya excellent boy.tuchekiane hapa