Nahitaji Mtu wa kunifundisha Kimachame

Nahitaji Mtu wa kunifundisha Kimachame

No offense mkuu, its just mindset kama ulivosema, take it easy. Life lina milion choices and you do what pleases you, but if you share other people put their opinion pia...
Jux relax
 
Habari wakuu.

Nahitaji mtu wa kunifunza lugha ya machame ada na utaratibu mzima tutaelezana private.

Nashukuru.
Wamachame wamejazana kwenye huu uzi alaf ni wakali.. hatari

Mzee ungeanzisha uzi tu useme wamamchame wote tukutane hapa tuzogoe.. maana siku hizi nyuzi zote ni kuzogoa tu
 
Hakuna kimachame hapo, hicho labda ki kinga, au kingoreme,

Kwiifo inda? Upoje/una hali gani?

Shikee nisha=nipo salama

Eeka ma/mbe = asante kwa mwanamke (ma) kwa mwanamume (mbe)

Shiwaango Juma= naitwa Juma

En nyi mmashami= mimi ni mmachame

Koukya kwi= umetokea wapi?

Nb= kwenye kimachame hakuna salamu ya shikamoo na marahaba

Wote mnasalimiana kulingana na nyakati,

Mfano asubuhi ni neeanto ma/mbe

Mchana ni Neesindiso ma/mbe

Hiyo ni kwa wote wakubwa kwa wadogo, ntarudi
Kyeni kuwaloshe mbe...
 
### Maneno machache ya Kimachame vs Kiswahili:
| Kiswahili | Kimachame |
| Hujambo? | Undu swi? / Olo shiri? |
| Nzuri | Isheri / Isheri sana |
| Asante | Ngema / Ngema muno |
| Naitwa... | Irikwa... |
| Twende | Tuya / Iya |
| Chakula | Kyaakulya |
| Maji | Maha / Mbaa |
| Baba | Tata |
| Mama | Nyaa / Mama |
| Nyumba | Nyuma |
Mfano wa sentensi:
Kiswahili: "Mama, chakula kiko tayari"
Kimachame: "Nyaa, kyaakulya kiko mbeku"

Ukweli wa Kimachame: Ni lugha ya Bantu yenye "click" kidogo na misisitizo tofauti. Watu wa Machame wanasemekana ni "wachapakazi na wasioogopa" - ndio maana kuna msemo "Mshamba wa Machame".

Wewe ni Mmachame mkuu? Au unataka kujifunza kuongea ili uwasalimie ndugu zako? 😄

Nikufundishe sentensi gani kwa Kimachame sasa hivi?
AI imekuingiza chaka vibaya mnooo
 
Back
Top Bottom