Nahitaji mtu mzima wa kuongea naye

Nahitaji mtu mzima wa kuongea naye

sexy bubble

Senior Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
156
Reaction score
22
I need a muture person to talk to tafadhali si mapenzi wala kutongozana I need advice a single mom am so confused please
 
Talk of maturiity coming from a woman calling herself "sexy bubble"

Oxymoronic
 
sexy bubble. Ikiwa ni ushauri juu ya maisha ni PM.
 
Last edited by a moderator:
Sexy bubble pole sana. Mimi ni mama mtu mzima nipe pm usijali wanaoongea hovyo. Come to me the door is open. Karibu
 
Na wewe uwe mtu mzima pia maana raha ya mazungumzo mfanane.
 
Kuna watu wazima wengine akili zao ni hamsini toa mia..Hawatakusaidia..Njoo kwangu..Japo nina miaka 18 ila nina hekima sana
 
I need a muture person to talk to tafadhali si mapenzi wala kutongozana I need advice a single mom am so confused please

Pole mama. Mie naweza kushare na wewe madhila yako kwa huruma na upendo wa hali ya juu. Umri wangu 48 na nina watoto watoto 3. Nitafute mama tujadiliane tushauriane ndio dunia full of surprises
 
chumvi yote nliokula na kupewa wake wawil.. sifai kuwa under 18!!! ushauri wangu wa kizee hawa vijana hawatuwez
Teh teh..Vijana wa digital na mapenzi yao ya fb na whatsApp wana shida sana lol
 
Unajua rqha ya ushauri utoke jinsia tofauti...... wacha watamshauri tu wadau humu


Au pia, confusion inaweza kuwa on the flip side. Miezi nane niliyokaa humu, nimejifunza sio kila kitu ni black and white.

Btw, wewe mtu mzima mwenzangu, hebu kamskilize basi.

Teh teh..Mpendwa embu fanya msaada kwa mwanamke mwenzio..Naona mi aniamini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom