doreen kimambo
Member
- Oct 27, 2015
- 49
- 3
I'm here say u are prbl
Kuna watu wazima wengine akili zao ni hamsini toa mia..Hawatakusaidia..Njoo kwangu..Japo nina miaka 18 ila nina hekima sana
Unajua rqha ya ushauri utoke jinsia tofauti...... wacha watamshauri tu wadau humu
chumvi yote nliokula na kupewa wake wawil.. sifai kuwa under 18!!! ushauri wangu wa kizee hawa vijana hawatuwez
I need a muture person to talk to tafadhali si mapenzi wala kutongozana I need advice a single mom am so confused please
Teh sasa si ametukataa sisi watu wazima wa jinsia ya kiume..
I need a muture person to talk to tafadhali si mapenzi wala kutongozana I need advice a single mom am so confused please
martyr2012 nitafute mama
Nimefika mtu mzima. Niambie suala lako
Sexy bubble pole sana. Mimi ni mama mtu mzima nipe pm usijali wanaoongea hovyo. Come to me the door is open. Karibu
I'm 48 years old, physical feet.I need a muture person to talk to tafadhali si mapenzi wala kutongozana I need advice a single mom am so confused please
Kuna watu wazima wengine akili zao ni hamsini toa mia..Hawatakusaidia..Njoo kwangu..Japo nina miaka 18 ila nina hekima sana