Nahitaji mtambo wa Biogas na CCTV camera mbili

Nahitaji mtambo wa Biogas na CCTV camera mbili

Nyange

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
3,517
Reaction score
1,869
Za leo waungwana, kwayeyote anayejua wapi nitapata mtambo mdogo wa Bio gas wa ng'ombe wasio zidi wanne ( Zero grazing system) na CCTV Camera mbili naomba anifahamishe wapi naweza pata na bei zao.

Nawashukuru sana, najua soon ntapata,

Good day.
 
Wanakuja mkuu
 
0715591141 nicheki kesho Nna cctv camera zangu nlinunuaga muda tu nje,sizitumi
Kesho ntapekua mzigo yangu.....ila cctv cam Nnayo Iko complete...

Ova
 
Back
Top Bottom