Nahitaji mtaalamu/Mganga wa jadi

Nahitaji mtaalamu/Mganga wa jadi

Yuko Dar kachukua leo form ya kugombea ubunge. Muwahi kabla hajaanza kuwa busy
 
kuna jamaa yangu ana hela ya ndagu nae anakaa kwenye bonge la golofa ila anapikia kuni kwake alafu anakaa na mambuzi humo ndani ila jamaa ana hela balaa ukimuomba hata milioni 100 anakupa tu
Yuko wapi huyo jamaa nimfate kesho asubuhi,maana nna matatizo kibao
 
Back
Top Bottom